Je Waliowahi Kutendwa Hupenda tena?

Ukimpata mpenzi mwingine mwenye baadhi ya tabia kama za yule aliyekutenda hautaweza kudumu nae. Labda ukimpata mwenye tabia tofauti na yule aliyekutenda atakusaidia nawe kutomkubuka yule wa awali, so mtadumu.
 
Unaweza kupenda tena au usipende tena. Haya mambo yanategemea uliumizwa kwa kiwango gani na ilikuathiri vipi kisaikolojia, na hii inategemea sana relationship yenu ilikuwa ya namna gani kwani kwenye mahusiano ya mapenzi kuna mambo mengi sana baina ya wawili.
 
mie nimeshaumizwa mara 6 jumla, kwasasa hivi sijuhi kupenda tena, ila ikiwa umeumizwa mara 1 tuu unapenda kama kawaida
 
Back
Top Bottom