Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Donge na makorola...raskazone,kwa minchi...dooh I miss Tanga
hatari sana,nilikaa mwez 1 na wiki sijagusa dem kisa jamaa yangu alilewa akajimix,akachukua ***** akidhani ni demu.hehehehDonge na makorola...
unataka kufananisha moshi na tanga?hiyo moshi yako hata kahama haifikii ndo itakua tanga?unajua vigezo vya sehemu kupewa hadhi ya kua jiji?rudi shule elimu inatolewa bure siku hizi.Tanga ni jiji ,Moshi ni manispaa
Tuache na Tanzania yetuTanzania yote hakuna jiji hata moja.yote ni uchwara tu,ukitaka kuona jiji nenda Johannesburg
Njoo south supermarket ndio utaona majiji.sio Tanzania maana hawajui hata maana ya neno jijiTuache na Tanzania yetu
Njoo south supermarket ndio utaona majiji.sio Tanzania maana hawajui hata maana ya neno jiji
Kuna kipofu mmoja alibahatika kuona kwa sekunde chache, akaona punda tu. Basi kila akisikia mtu anasema/anasifia kitu yeye anauliza tu 'kizuri/mzuri kama punda?'Tanzania yote hakuna jiji hata moja.yote ni uchwara tu,ukitaka kuona jiji nenda Johannesburg