Je Wajuwa Kuwa Mun U Channel Ipo hewani

Je Wajuwa Kuwa Mun U Channel Ipo hewani

Mkuu Jalim ebu funguka kidogo Mun U ndiyo nini.
 
Last edited by a moderator:
Sijui ni biashara sijui ni nini, lkn all in all kwa lugha za kihunihuni hivi watakuelewa wahuni wenzako tu
 
Wataalam wa hili jukwaa hawana mapozi.
Na wanaheshimika kwa kila mtu.

we kama huna maujanja kaa kimya.!!
 
Ngoja Nifunguke Kwawale wanao tumia dish naamini watanielewa sana leo nime jaribu kusachi na nikabahatika kupata man u tv,eurosport news Kupitia Fr 12522h26659
 
Ngoja Nifunguke Kwawale wanao tumia dish naamini watanielewa sana leo nime jaribu kusachi na nikabahatika kupata man u tv,eurosport news Kupitia Fr 12522h26659

Kwa uelekeo upi? Dish size gani? Sat ipi? Unatumia receiver gani? Funguka mkuu
 
Mbona zina dolla kaka hazifanyi kazi??Tupe maelekezo mazuri zaidi!
 
Mleta mada jipange vizuri sasa unakuja
na haraka kama unaoga uwanjani
Eleza vizuri ueleweke pia jibu unachoulizwa.
 
Man united tv ndio tangia muda mrefu ni zaidi ya miaka 3 hivi au 4 inapatikana intelsat 20 at 68' E ,ile ipo kwenye kampuni la MY TV AFRICA,wanakadi zao zinauzwa karibuni mikoa yote unatumia receiver ya strong yenye uwezo wa kuwa na smart card ila jua kuwa haionyeshi mechi live za Man united ni interview za wachezaji,pia game za pre season moja moja sana ndio unaweza pata live pia marudio ya mechi yapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom