Mdau hebu fungua hii video uone mwenyewe, Kumbe kweli kabisa huyu mkuu wa chama chao hayupo makini kabisa, hafai kabisa kuongoza nnchi.
Ndio maana nnchi imeenda ovyo ovyo, na tumeingia kwenye mikataba ya ajabu ajabu ambayo hata mtu wa elimu ya form4 tu hawezi kukubali.
katika mambo ya uchumi hana ki2 anapelekwa tu na wasaidizi wake wajanja wajanja..
Ila katika starehe,
musiki
na kutalii
jamani hapo tumpe hongera na tumkubali kwa hayo
Duhh! Hii ni kali ya mwaka ... kwa nini Chadema isitumie documentary hii kwenye kampeni zake za Urais, Udiwani na Ubunge? Naona imenitibua moyo sana mie.... Imenigusa sana