CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mbaya tu!
Sijapatapo kuufika mwaka wa hovyo kama huu!
Kwangu ni mwaka dume!
Na sina pahala pakuufungia bunzi (kama tuufanyiavyo mpapai dume)
Hahahahaaaaaa..... Pole mkuu!
Mwenyezi Mungu akusaidie!!!
Afu FRIDAY mie nikila mzigo wa mtu , lazima nimtie mimba !
Je wajua ?
Dah..hongera!
Fanya utafiti hasahasa umlishapo bwa-mdogo wangu mzigo Friday !
Itabidi nifanye hivyo kiukweli ili nithibitishe hili..tena leo!!
Hiii kaliii4/4/2014 - FRIDAY
6/6/2014 - FRIDAY
8/8/2014 - FRIDAY
10/10/2014 - FRIDAY
12/12/2014 - FRIDAY
1997 Calender repeated again in 2014 date and days are the same....
Enjoy 1997 in 2014
HAPPY USED YEAR.
Tena msusie yote! Uone mziki wake .
...eti nimsusie yote..hahaaa kwani nam'baniaga?!!....ndo naelekea ivoo
Alaaa!
Kumbe wewe ndo unaipelekaga ?
Mi nilidhani yeye ndo anaifataga !
Btw ni maendeleo mkiwezeshwa mnamudu , si kakuhonga Vitara bwanaa !
Hauna kisingizio cha kutoipeleka !
Vya sijui "ningekujaje na ile mvua"
"nilishakaribia nikakuta ile mijibwa ya jirani ishafunguliwa nikaogopa nikarudi hom"
Kauli sampuli hii ni ndoto uziseme .
Ningeongea mengi ila humu sina ruhusa
Wala usiongee!
mpelekee kwanza aisee