Je wajua. . . . . .

Je kweli wajua wakti wako haswa wa kulala au wajua wakit wako haswa wa kpanda kitandan. . . . ?
Mana kna w2 hsema "mi nalala sa 4" Je kwl huwa kalala ucngz

Hivi hii miandiko gani tena mie huwa inanichukua muda sana kuelewa kinachomaanishwa.......................!!!:wacko:
 
Bora tu hajauliza manake nahisi ungeongopa kama sio kuexaggerate! Lol
Alafu wewe!
Na ujirani wako wa kidarisalama huo!
Jirani hata siku moja sijaisikia "jamani tumeivisha" looh! Hata chembe ya soni ?
Wambuzi ndiyo unaongoza ligi ! Khaaa!
 
Alafu wewe!
Na ujirani wako wa kidarisalama huo!
Jirani hata siku moja sijaisikia "jamani tumeivisha" looh! Hata chembe ya soni ?
Wambuzi ndiyo unaongoza ligi ! Khaaa!

Husninyo alishatuonya ndo maana pipo za humu nazigwaya sana! Lol
 
Husninyo alishatuonya ndo maana pipo za humu nazigwaya sana! Lol

Hivi tuseme wajitoa fahamu kwamba nduguyo Husn alivunja serikali yake mwenyewe ?
Nikastriwa au niseme nikaokotwa na Serikali mpya, leadin with BeibeNasty !
So policy active ziko kwa BN ! Kua na amani jirani .
 
Usijali jirani tutakuwa tunafurahi kiJF JF kama kawa! About Husn, loh viwavi jeshi ndo vilimpelekea akachukua maamuzi magumu lasivyo tungekuwa nae!
 
Back
Top Bottom