Tunajua muda tunaoenda kitandani na sio muda tunaosinzia.
Inategemea.
Waliopo kwenye ndoa huwahi kulala mapema kwa kuwa wanawahi kuchoka mapema kuliko wale wasio kwenye ndoa.
SITAKI MASWALI.
Kama umeoa au kuolewa jichunguze.
for sure Madame B
Mbona muda wa kupandana hujaulizia ?
Au si muhimu ?
we na kupandana tu......lol! HELLOW!!
Madame B inawezekana ulichosema kina ukweli kwa kuwa mpaka muda huu cjalala.
duuuh honestly sijuwag exactly time nakuwa nimesinzia ila huwa nafaham tuu mda ninaopanda kwa bed. Shikamoo dada Madame B
Markhaba Mdogo Wangu Mzuri beibe nasty.
Je,nikikuuliza jana umesinzia na kulala usingizi kabisa saa ngapi,unaweza ukanijibu mdogo wangu?
Dada jana nilipanda kitandani saatano nkachati weeee hatasijui saangap nkapata usingz nkazima ghafla nastuka asubuhii hii na simu mkononi mwenzioooo
Dada jana nilipanda kitandani saatano nkachati weeee hatasijui saangap nkapata usingz nkazima ghafla nastuka asubuhii hii na simu mkononi mwenzioooo
Hahahahaha ukatumia busara ukaendelea kuchat palepale ulipoachia