Je wajua

Je wajua

nanawoo

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
1,312
Reaction score
1,278
Je Wajua mazungumo MAFUPI Kuliko Yote Dunian ni pale unapokua CHOONI alaf ghafla mtu anakuja na kufungua [HASHTAG]#mlango[/HASHTAG].... Mazungumzo huwa ivi:

Aliye chooni: WEWE -EEH

Aliefungua mlango- AAAH

au utasikia mhmhmhh

Mwisho wa mazungumzo
 
Yalikukuta leo nini ukaamua kuiback up story
 
Je Wajua mazungumo MAFUPI Kuliko Yote Dunian ni pale unapokua CHOONI alaf ghafla mtu anakuja na kufungua [HASHTAG]#mlango[/HASHTAG].... Mazungumzo huwa ivi:

Aliye chooni: WEWE -EEH

Aliefungua mlango- AAAH

au utasikia mhmhmhh

Mwisho wa mazungumzo
Hahahahahahahahahahahahaahahh!
 
dde3d1e26140a0c1abb054ff9cbcd7d3.jpg
 
je ni kweli jaman au uongo
 
Back
Top Bottom