Je, wajua taarifa zinazoambatana na picha unayoupload mitandaoni?

Je, wajua taarifa zinazoambatana na picha unayoupload mitandaoni?

Digital foot prints zinaachwa wapi? Au kwenye kifaa gani?

Ni jukumu la kampuni kuhakikisha hakuna chochote kinacho weza kupenya mitambo yao yaani info lazima ziwe secured with an end-to-end encryption
1. End-to-end encryption sio jukumu la kisheria la mashirika ya simu ku implement..hakuna sheria inayowabana so wanaweza wakaweka na wanaweza wasiweke

3. Encyption ina cipher data on transit,ukitaka data ziwe encrypted hadi mwisho ht sie wengine hatutaweza kukiona so km wakigain access ya server uliotuma izo data e.g access ya JF encryption wont help u

4. Even encrypted data can be decrypted without a key unahitaji powerful machine,powerful software n time...
 
Back
Top Bottom