Je wajua kwanini jk na wenzake wamealikwa USA?

Imany John

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
2,930
1,165
Agenda kubwa ni kilimo,lakini kwa Tanzania imeonekana ndio nchi pekee afrika mashariki inayoongoza kuuza ardhi yake kwa nchi za kigeni.
Source;BBC SWAHILI
 
Agenda kubwa ni kilimo,lakini kwa Tanzania imeonekana ndio nchi pekee afrika mashariki inayoongoza kuuza ardhi yake kwa nchi za kigeni.
Source;BBC SWAHILI

Tz ndio yenye eneo kubwa kuliko nchi zote za ukanda wa Eac kwa hiyo sio ajabu,mkuu jaribu kufikiria kidogo tu kabla ya kuleta ***** hapa
 
So far TZ tumeshauza hecta 2+ mil out of 14+ kwa afrika nzima zilizouzwa kwa wageni (wawekezaji). Lakini ishu ya msingi ambayo Obama amemwita JK ni kuhusu madini ya Uranium, kwa nchi kama USA, Uranium ni muhimu sana kwake, kuliko ardhi, kwa sababu ardhi hata yeye bado anayo kubwa plus ardhi ya canada, lakini Uranium ndio mpango mzima, mate lazima yamtoke, afu ameshapima kichwa cha JK amekiona ni chepesi, rahisi kumrubuni, hata akimpa kabinti kwake poa tu, anaanguka saini...
 
Kwa viongozi wenye akili za kufikiria huwa si vipaumbele vya amerika, lakini maraisi waoga, wazembe, na wavivu wa kufikiri ndo wanaopendwa maana wao kila kitu watakubali bila kufikiri
 
My president is selling his own countrymen kwa manufaa yake....maajabu ya wanadamu.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Tz ndio yenye eneo kubwa kuliko nchi zote za ukanda wa Eac kwa hiyo sio ajabu,mkuu jaribu kufikiria kidogo tu kabla ya kuleta ***** hapa

vipi kuhusu population ya Tanzania kulinganisha na nchi nyingine za EAC?
Jaribu kufikiri kidogo kabla ya kujibu *****!
 
vipi kuhusu population ya Tanzania kulinganisha na nchi nyingine za EAC?
Jaribu kufikiri kidogo kabla ya kujibu *****!

Population ina decrease,nadhani ndo ma planner ndo wanachomwaminisha prezidaa
 
Duniani kote raslimali ikiwemo Ardhi inayofaa kwa kilimo zimepungua au kutoweka kabisa.
Kwa vile Tanzania bado inazo raslimali hizo ndiyo maana hawa akina Obama wanatafuta naman ya kuwa karibu na Presida ili hatimaye wamlaghai na kuachia kirahisi raslimali hizo.
 
Tz ndio yenye eneo kubwa kuliko nchi zote za ukanda wa Eac kwa hiyo sio ajabu,mkuu jaribu kufikiria kidogo tu kabla ya kuleta ***** hapa

Kwa hiyo kuwa na eneo kubwa ndo uuze kwa wageni. Mwalimu Nyerere alitunza ardhi kwa makusudi kwa ajili ya kizazi kijacho. aliona mbali. sasa kuwa na eneo kubwa ndo mnauza, vizazi vijavyo vitaishije. ninini hatima ya utaifa wetu ardhi kubwa ikishamilikiwa na wageni?
 
Population ina decrease,nadhani ndo ma planner ndo wanachomwaminisha prezidaa

Lazima itapungua tu. kwa hii misaada ya madawa family plan tunayopewa. maana misaada mikubwa ya USA ni vyandarua family plan, Ondoa mkono sweta na inayofanana na hiyo
 
Back
Top Bottom