britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
PUMBANISM/UFIPANISM/BAVICHAANISM ON YOUR BEST OPPOSING SIDES FOR EVERY DAY CONTINUOSLYHeri ya Mwaka Mpya mkuu wetu wa Nchi
Nakusalimu kwa jina lake Bwana Yesu Kristo, neno la kusoma pitia Mwanzo 31:8
Nina Imani mwaka huu mkuu utakuwa mwaka mwema na wenye matumaini kwa watanzania wachanga unaowaongoza,
Tathmini yetu ya haraka haraka ni kwamba Mwaka 2018 ulikuwa mwaka ngumu kwako,
Lakin mkuu mwaka huu tunaomba uwe
mvumilivu wa siasa na pia ushauri usikie,
Mkuu wajua kwamba bado Mwaka mmoja tu tukupime,
Mkuu usihangaike na wapinzani wako ndani na nje ya chama, please
Je wajua kwamba bado wapo watanzania wenye Imani na wewe ndani ya mwaka huu 2019,
Je wajua kwamba bado kuna watanzania hawajaeleweshwa vema nia na dhamira yako kama raia namba moja?
Je wajua kwamba yawezekana hata baadhi ya miradi mikubwa kama elimu bila malipo inaweza kukwama kama hujaandaa utaratibu wa taasisi kushirikishwa ?
Mkuu tunakuomba mwaka huu uwe na ahueni kwa raia wa kawaida,
Mungu Ibariki Tanzania yetu
Mkuu kwahiyo anabalehee?Labda...maana kila level ina balehe zake. Hata uongozi una balehe zake. Kuna kipindi unaona kabisa kuwa @brittanica anafanya madudu haya ni sababu ya balehe zake za madaraka mapya. Sorry kwa kukutolea mfano mbaya ma wa kuudhi lakini ndiyo kamfano pekee ambako nina uhakika kataeleweka.
Siyo bavicha mimi na sitakuwa bavicha,PUMBANISM/UFIPANISM/BAVICHAANISM ON YOUR BEST OPPOSING SIDES FOR EVERY DAY CONTINUOSLY
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo bavicha mimi na sitakuwa bavicha,PUMBANISM/UFIPANISM/BAVICHAANISM ON YOUR BEST OPPOSING SIDES FOR EVERY DAY CONTINUOSLY
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee we sijui unawazajeMagufuli akileta maendeleo bila kuwashughulikia wapinzani siwezi kumuelewa kabisa.
Nawaza kama ninavyoandika.Aisee we sijui unawazaje
Hakikisha kabla ya kunywa hizo pombe zako uwe umekula na kushibaPUMBANISM/UFIPANISM/BAVICHAANISM ON YOUR BEST OPPOSING SIDES FOR EVERY DAY CONTINUOSLY
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli akileta maendeleo bila kuwashughulikia wapinzani siwezi kumuelewa kabisa.
Usiniquote tena popote, fanya mambo yako.Analog haiwezi kuishinda digital. Naona umeshiba nyama za Makonda hapa unacheua tu. Alete maendeleo au akuze deni la taifa?
Usiniquote tena popote, fanya mambo yako.
Ila unajuwa kumchezea magufuli kwa I hajui kuwa wewe ni bashiteSiyo bavicha mimi na sitakuwa bavicha,
Namuonea huruma anayeongozwa na kichaa.... anaweza kuwa suicidalUkimuelewa Jiwe wewe ni Kichaa maana nayeye alijiita hivyo!
Wote hatumtaki.. Wamebaki Wachumia tumbo wachache ambao nje wanamsifia ndani wanaumiaHeri ya Mwaka Mpya mkuu wetu wa Nchi
Nakusalimu kwa jina lake Bwana Yesu Kristo, neno la kusoma pitia Mwanzo 31:8
Nina Imani mwaka huu mkuu utakuwa mwaka mwema na wenye matumaini kwa watanzania wachanga unaowaongoza,
Tathmini yetu ya haraka haraka ni kwamba Mwaka 2018 ulikuwa mwaka ngumu kwako,
Lakin mkuu mwaka huu tunaomba uwe
mvumilivu wa siasa na pia ushauri usikie,
Mkuu wajua kwamba bado Mwaka mmoja tu tukupime,
Mkuu usihangaike na wapinzani wako ndani na nje ya chama, please
Je wajua kwamba bado wapo watanzania wenye Imani na wewe ndani ya mwaka huu 2019,
Je wajua kwamba bado kuna watanzania hawajaeleweshwa vema nia na dhamira yako kama raia namba moja?
Je wajua kwamba yawezekana hata baadhi ya miradi mikubwa kama elimu bila malipo inaweza kukwama kama hujaandaa utaratibu wa taasisi kushirikishwa ?
Mkuu tunakuomba mwaka huu uwe na ahueni kwa raia wa kawaida,
Mungu Ibariki Tanzania yetu
Kwako maendeleo nini?Magufuli akileta maendeleo bila kuwashughulikia wapinzani siwezi kumuelewa kabisa.