britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Heri ya Mwaka Mpya mkuu wetu wa Nchi
Nakusalimu kwa jina lake Bwana Yesu Kristo, neno la kusoma pitia Mwanzo 31:8
Nina Imani mwaka huu mkuu utakuwa mwaka mwema na wenye matumaini kwa watanzania wachanga unaowaongoza,
Tathmini yetu ya haraka haraka ni kwamba Mwaka 2018 ulikuwa mwaka ngumu kwako,
Lakin mkuu mwaka huu tunaomba uwe
mvumilivu wa siasa na pia ushauri usikie,
Mkuu wajua kwamba bado Mwaka mmoja tu tukupime,
Mkuu usihangaike na wapinzani wako ndani na nje ya chama, please
Je wajua kwamba bado wapo watanzania wenye Imani na wewe ndani ya mwaka huu 2019,
Je wajua kwamba bado kuna watanzania hawajaeleweshwa vema nia na dhamira yako kama raia namba moja?
Je wajua kwamba yawezekana hata baadhi ya miradi mikubwa kama elimu bila malipo inaweza kukwama kama hujaandaa utaratibu wa taasisi kushirikishwa ?
Mkuu tunakuomba mwaka huu uwe na ahueni kwa raia wa kawaida,
Mungu Ibariki Tanzania yetu