Je, wajua kwamba bado wapo watanzania wenye imani na wewe ndani ya mwaka huu 2019?

Magufuli akileta maendeleo bila kuwashughulikia wapinzani siwezi kumuelewa kabisa.
Wapinzani ni waithiopia? Haya ndiyo yanawafanya wenzenu watafute sympathy kwa WENYE nguvu duniani,kwakuwa mnawaona kama mashetani. KWA MANENO YENU YANAYOJAA SHOMBO MTATULETEA MACHAFUKO YASIYO NA LAZIMA. TUMIENI AKILI KIDOGO MLIYONAYO BHANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda...maana kila level ina balehe zake. Hata uongozi una balehe zake. Kuna kipindi unaona kabisa kuwa britanicca anica anafanya madudu haya ni sababu ya balehe zake za madaraka mapya. Sorry kwa kukutolea mfano mbaya ma wa kuudhi lakini ndiyo kamfano pekee ambako nina uhakika kataeleweka.
Upo
 
Back
Top Bottom