sweetbertrutamb
Member
- Mar 30, 2010
- 19
- 2
Ndugu zangu, kulikoni mzee wa kasi mpya hakuonekana Igunga, ama hajapona madonda ya swaiba wake RA? Au aliambiwa akienda atakukumbushia siasa uchwara tafadhali mwenye kujua lolote kuhusu hili tuwaanikie watz waweze kujua huyu jamaa alivyo maana yake usanii tu. Nitashukuru kwa michango yenu.
Ni kipogo cha mbwa mzee, mpaka wamepagawa.CCM ina jeshi kubwa sana , na hakuna haja yakupeleka silaha nzito km hizi zinaitwa silaha za maangamizi. Wapeleka jeshi dogo tu lakina magufuli, wasirra, mwingulu, mkama nk umeona kilio cdm walicho kipata . Na hata soma maoni yao humu JF utaona ni watu waliokata tamaa,wenye hasira na wenye fadhaaaa
CCM ina jeshi kubwa sana , na hakuna haja yakupeleka silaha nzito km hizi zinaitwa silaha za maangamizi. Wapeleka jeshi dogo tu lakina magufuli, wasirra, mwingulu, mkama nk umeona kilio cdm walicho kipata . Na hata soma maoni yao humu JF utaona ni watu waliokata tamaa,wenye hasira na wenye fadhaaaa
Mtachonga sana safari hii lakini kipigo cha kiutu uzima mmekipata, itachukua muda mpaka majeraha yapone.Kuna hoja nyingi angeshindwa kuzitolea majibu. Na yaye kama 'rais' ingekuwa aibu kubwa sana. Si unajua yule ni mtu wa matukio mepesi!
Kama hii ndio njia yenu ya kujiliwaza basi ni poa tu. Ukweli uko pale pale. Kushindwa ni kushindwa, kwa kura moja au elfu.yaani huwa nikisoma post zako huwa ninajiuliza uwezo wa masaburi yako kwani una iq ya chini sana......
una uwerzo mdogo sana wa analysis yaasni haionyeshi kama ulibahatika kuingia sekondari japo ya kata.....
haya take home assignment:
1. calculate by percentage ushindi wa CCM igunga 2010...................................1
2. calculate by percentage ushindi wenye mashaka wa CCM + serekali igunga 2011...................11
2. calculate by percentage kura za chadema igunga 2010...............................111
3. calculate by percentage kura za chadema igunga 2011................................iv
kujua anguko la CCM in percentage = 1 - 11*100/11
kujua kupanda kwa chadema in percentage = iv - iii*100/ i
ukimaliza uje na jibu nikupe method ya linear regression
Ndugu zangu, kulikoni mzee wa kasi mpya hakuonekana Igunga, ama hajapona madonda ya swaiba wake RA? Au aliambiwa akienda atakukumbushia siasa uchwara tafadhali mwenye kujua lolote kuhusu hili tuwaanikie watz waweze kujua huyu jamaa alivyo maana yake usanii tu. Nitashukuru kwa michango yenu.
Sheikh Yahya mpya! alimshauri kuwa akijaribu ataanguka tena jukwaani na kufia huko!!Ndugu zangu, kulikoni mzee wa kasi mpya hakuonekana Igunga, ama hajapona madonda ya swaiba wake RA? Au aliambiwa akienda atakukumbushia siasa uchwara tafadhali mwenye kujua lolote kuhusu hili tuwaanikie watz waweze kujua huyu jamaa alivyo maana yake usanii tu. Nitashukuru kwa michango yenu.
alikuwa usa akipiga piga picha na 50 cent
CCM ina jeshi kubwa sana , na hakuna haja yakupeleka silaha nzito km hizi zinaitwa silaha za maangamizi. Wapeleka jeshi dogo tu lakina magufuli, wasirra, mwingulu, mkama nk umeona kilio cdm walicho kipata . Na hata soma maoni yao humu JF utaona ni watu waliokata tamaa,wenye hasira na wenye fadhaaaa
yaani huwa nikisoma post zako huwa ninajiuliza uwezo wa masaburi yako kwani una iq ya chini sana......
una uwerzo mdogo sana wa analysis yaasni haionyeshi kama ulibahatika kuingia sekondari japo ya kata.....
haya take home assignment:
1. calculate by percentage ushindi wa CCM igunga 2010...................................1
2. calculate by percentage ushindi wenye mashaka wa CCM + serekali igunga 2011...................11
2. calculate by percentage kura za chadema igunga 2010...............................111
3. calculate by percentage kura za chadema igunga 2011................................iv
kujua anguko la CCM in percentage = 1 - 11*100/11
kujua kupanda kwa chadema in percentage = iv - iii*100/ i
ukimaliza uje na jibu nikupe method ya linear regression
wewe unafikiri kwa kutumia masaburi. hivi haukuiona serikali ilipo hamia igunga?Hivi wewe ulitaka CDM wasipate kura hata hizo walizopata? Big boss amewahurumia na ndio sababu ya kutuma watu wake. Au unafikiri CCM ni chama njaa kama CDM walio peleka Chama kizima huko Igunga. Na lazima ukumbuke huu ni uchaguzi mdogo sana kwa mtu wa muhimu kama Kikwete.
ndiyo nani huyo kaka? mie mgeni mwenzioNdugu zangu, kulikoni mzee wa kasi mpya hakuonekana Igunga, ama hajapona madonda ya swaiba wake RA? Au aliambiwa akienda atakukumbushia siasa uchwara tafadhali mwenye kujua lolote kuhusu hili tuwaanikie watz waweze kujua huyu jamaa alivyo maana yake usanii tu. Nitashukuru kwa michango yenu.