Je, wajua hakuna ukweli, ni mawazo yako tu

Huchelewi kuanza kutembea uchi maana unahisi uko peke yako
 
Mmachinga Huyu ...
Wamachinga wanafukuzwa mjin hapana n mawazo yako tu

Watakula nn sasa ..hapana ni mawazo yako... njaa hakuna dunian mawazo yetu tu
 
Hakika unaweza ukashangaa lakin ndivyo ilivyo, hakuna ukweli ila mawazo yako tu. Duniani upo peke yako lakin mawazo yako yanakuambia dunia ina watu wengi

Hapo ulipo mawazo yanakuambia upo Jamiiforums unasoma thread ya ndugu bwana Fene kumbe si kweli mawazo yako tu

Hakuna njaa wala shibe ni mawazo yako tu

Mawazo yako yanakuambia upo nchi ya amani Tanzania kumbe si kweli ni mawazo yako tu

Mawazo yako yanakuambia mbona naisoma thread isiyoeleweka kumbe si kweli hakuna kitu thread ni mawazo yako tu

Eti sometimes unadai umeumizwa na mapenzi sio kweli ni mawazo yako tu

Duniani upo peke yako

Eti unajidanganya leo usiku kuna uefa sikweli ni mawazo yako tu

Utadai alieandika thread itakuwa ameshaonja kidogo labda hapana hayo yote ni mawazo yako tu
Hii sio thread ni mawazo yako tu.

Hakika umejitengenezea mawazo mengi sana ya ajabu!

Eti kuna kukomenti hapana hayo yote ni mawazo uliojitengenezea

Kuna siku utaujua ukweli
View attachment 1997312
Corona imekimbilia kichwani
 
Na bado tutakoma,hapa bado kabisa ndo tunaanza hivi,subirini tufikie katikati ya safari,tutabaki kusema hivi hivi ni "mawazo yako/yetu haya"huku watu wanalamba vinyesi vya mbuzi na mikojo ya Simba kwa kupoteza mind control huku tukijifariji na illusion za ajabu za wazungu za kuona life is illusion,huku tukiachwa...
Hakuna wazungu ni mawazo yako tu
 
Mmachinga Huyu ...
Wamachinga wanafukuzwa mjin hapana n mawazo yako tu

Watakula nn sasa ..hapana ni mawazo yako... njaa hakuna dunian mawazo yetu tu
Hakika umeelewa, upo pek yak ktk dimbwi la mawazo
 
Kijana fene,.hayo Ni mawazo yako tu..hata simu uliyoitumia sio simu bali Ni kiganja tu hcho..
 
Back
Top Bottom