Je, wajua hakuna ukweli, ni mawazo yako tu

Mtoa mada umeongea ukweli ila watu hawataki kukuelewa.

Matatizo mengi yanayotuumiza chanzo chake huwa ni hisia za mawazo yetu tu.

Ndio maana kuna wanaume huwa wanawafumania wake zao wanachukizwa na mawazo yao yanapelekea wafanye mauwaji, Kuna wengine mawazo yao yanawafanya watoe Talaka ila kuna wengine mawazo yao yanawafikiria watoto na kuamua wawasamehe wake zao na maisha yanaendelea.

Mawazo yetu ndio yanayotufanya tuwe na tabia nzuri au mbaya.
 
Kwahiyo hii jf ni ya kwako na hata mimi ninayecomment hapa ni wewe? Umejiandikia thread ili iweje sasa. Najaribu kuelewa lakini cheche
 
Kwahiyo hii jf ni ya kwako na hata mimi ninayecomment hapa ni wewe? Umejiandikia thread ili iweje sasa. Najaribu kuelewa lakini cheche
Hakika hakuna Jamiiforums, wala hakuna thread wala hakuna comment, yote ni mawazo yako tu

Na hakika upo peke yako
 
Hakika unaweza ukashangaa lakin ndivyo ilivyo, hakuna ukweli ila mawazo yako tu. Duniani upo peke yako lakin mawazo yako yanakuambia dunia ina watu wengi

Hapo ulipo mawazo yanakuambia upo Jamiiforums unasoma thread ya ndugu bwana Fene kumbe si kweli mawazo yako tu

Hakuna njaa wala shibe ni mawazo yako tu

Mawazo yako yanakuambia upo nchi ya amani Tanzania kumbe si kweli ni mawazo yako tu

Mawazo yako yanakuambia mbona naisoma thread isiyoeleweka kumbe si kweli hakuna kitu thread ni mawazo yako tu

Eti sometimes unadai umeumizwa na mapenzi sio kweli ni mawazo yako tu

Duniani upo peke yako

Eti unajidanganya leo usiku kuna uefa sikweli ni mawazo yako tu

Utadai alieandika thread itakuwa ameshaonja kidogo labda hapana hayo yote ni mawazo yako tu
Hii sio thread ni mawazo yako tu.

Hakika umejitengenezea mawazo mengi sana ya ajabu!

Eti kuna kukomenti hapana hayo yote ni mawazo uliojitengenezea

Kuna siku utaujua ukweli
View attachment 1997312
Mawazo yako yanakuambia upo nchi ya amani Tanzania kumbe si kweli ni mawazo yako tu

Hii ni sentensi tata
 
Kila kitu unakiona kutokana na mawazo yako ila sio kwamba hakuna kitu kabisa.
Chakula hicho hicho ukiwa na mood kitamu ukiwa down hakifai.
Wengine hawana kitu wanafuraha wengine wanakaribu kila kitu ila wana msongo wa mawazo.

Ni kweli ni mawzo yako tu
 
Me nimekuelewa mkuu nyinyi nyote mpo kwa mawazo yang tu but mm ndo dunia yenyw
 
Kila kitu unakiona kutokana na mawazo yako ila sio kwamba hakuna kitu kabisa.
Chakula hicho hicho ukiwa na mood kitamu ukiwa down hakifai.
Wengine hawana kitu wanafuraha wengine wanakaribu kila kitu ila wana msongo wa mawazo.

Ni kweli ni mawzo yako tu
Hakika ni mawazo yako tu
 
Kuna concept ya hyper space kama sijakosea, inaelezea hakuna jana, leo wala kesho kila kitu kinatokea kwa wakati mmoja, unazaliwa , unasoma, unakufa at the same time. Ni uelewa wetu tu wa kibinadamu ndo unafanya tuone matukio tofauti tofauti.
 
Back
Top Bottom