Je wajua "Bwanayule" ni nani?

Je wajua "Bwanayule" ni nani?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,902
Reaction score
9,323
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF kwa sasa amekuwa maalfu baada yakusikia jina linalosifika na wana CUF kuwa ni "BWANAYULE" Nibaada yakuwa mkorofi na kutaka kung'ang'ania kiti cha uenyekiti.
Sasa wazanzibar wamemuita "BWANAYULE Kwakuwa ni mkorofi.
 
Atakuwa kawakosha kweli bwanayule manake hamlali mngekuwa na nyie mabwana mngemkaushia sasa mnahangaika kinoma noma. CCM Mbendembende chali ndio hao wanzazibar, leo wao ndio wako chali wanamsubiri bwana yule hawashukie.
 
Duh kweli kudharauliana au kazi ndogo alifanya
Alichanga Karata kalamba dume, ila kadharaulika kuliko alivyodhania, wengine wanawasikiliza wake zao na kukurupuka bila kufikiri out come
 
Bwana Yule aidha ana msongo wa mawazo au anavuta ya Arusha.
 
Opposition Wana safaris ndefu Sana, kwa trend hii ndio Maana tunashindwa kuamini kwamba Wana nia ya dhati katika kuleta reforms nchini...
 
Back
Top Bottom