Teh teh kwa hiyo ni sahihi kabisa tuamini huu uarabu wako kama maana ya Afrika na sio Kilatini ama Kigiriki hapo juu ?Porojo ndeeeeeefu.
Afrika ni neno la Kiarabu linalotokana na neno "Afrit" kwa maana the hideous, iliyofichika.
Na kweli imefichikaPorojo ndeeeeeefu.
Afrika ni neno la Kiarabu linalotokana na neno "Afrit" kwa maana the hideous, iliyofichika.
The Name Africa is of African Origins from the Egyptian Word "Afru-ika" or 'Motherland."Porojo ndeeeeeefu.
Afrika ni neno la Kiarabu linalotokana na neno "Afrit" kwa maana the hideous, iliyofichika.
Waache wazilete nyingi then tufanye uchambuzi wetu. Lakini ukiangalia wagiriki, waarabu wote katika lugha zao wana maneno ukitohoa unapata AfrikaHaya Kila Mtu Na Maana Yake Tumuelewe Nani
Labda Luggy, huyo mama mmmhhh.....Haya Kila Mtu Na Maana Yake Tumuelewe Nani
Kwi kwi kwi teh teh tehThe Name Africa is of African Origins from the Egyptian Word "Afru-ika" or 'Motherland."
punguza uongo
Kwi kwi kwi teh teh teh
Ki Egyptian ni Kiarabu na hiyo uliyoleta ni porojo za kujazwa ujinga.
Kiarabu nnakifahamu.
AFRIKA ni neno la Kiarabu kama nilivyolielezea juu huko.
Mkuu hii kitu imekuwa mpya kwangu hebu ukpata mda utupe hako ka historia kakuonyesha halo zamani misiri ilikuwa ya watu weusi.Ancient Egypt au Misri ya zamani sio Misri ya leo, Misri ya zamani kwa jina la Kemeth ilikua ya watu weusi sio waarabu.
unaona usivoifahamu historia...huwa unasima nini wewe?,watu wa asili wa Egypt ni akina nani?,tangu lini hao ndugu zako wakawa na akili ? soma hapaKwi kwi kwi teh teh teh
Ki Egyptian ni Kiarabu na hiyo uliyoleta ni porojo za kujazwa ujinga.
Kiarabu nnakifahamu.
AFRIKA ni neno la Kiarabu kama nilivyolielezea juu huko.
Mkuu hii kitu imekuwa mpya kwangu hebu ukpata mda utupe hako ka historia kakuonyesha halo zamani misiri ilikuwa ya watu weusi.
Hao waarabu wakatoka wapi sasa?Ancient Egypt au Misri ya zamani sio Misri ya leo, Misri ya zamani kwa jina la Kemeth ilikua ya watu weusi sio waarabu.
unaona usivoifahamu historia...huwa unasima nini wewe?,watu wa asili wa Egypt ni akina nani?,tangu lini hao ndugu zako wakawa na akili ? soma hapa
The Black Egyptians are the original settlers of Kemet
The Black Egyptians--Original Settlers of Kemet
The Black Egyptians are the original settlers of Kmt. "The native Sudanese are one of the original pigmented Arabs in that region. They are members of the same ethnic family with the ancient Egyptians, the Ethiopians, the Southern Arabians, and the primitive inhabitants of Babylon. They are all founders and sustainers of the mighty Nilotic civilization we still admire today. They are very great nation of Blacks, who did rule almost over all Africa and Asia in a very remote era, in fact beyond the reach of history of any of our records.
Egypt is a Greek word meaning “Black.”
The Egyptians of the Bible were Negroid.
The Bible says both Egyptians and Ethiopians are descendants of Ham.
Arabs invaded Egypt in the 7th Century AD; Remember, Egypt wasn't invaded by Rome until 300 BC. The Bible dates 4000 BC.
Therefore, Arabs have no more connection to Ancient Egypt than Europeans have to Ancient America.
Egyptian is an Afro-Asiatic language. (AFRO, AFRO)
The national language of modern day Egypt is Egyptian Arabic, which gradually replaced Coptic. (Coptic--Ethiopia)
Black Egyptians were eventually mixed with invading Libyans, Persians, Greeks, Romans, Turks, Arabs and Western Europeans. That is where the mixed people of the modern-day Arabs come from.