We vip kaka?Kama tanzania vyama vya ushirika vimekufa kama unavyodai je saccos msingi wake nini?Je nchi nyingine kama Zambia, Angola Lesotho nako vimekufa? Kumbuka ndicho chuo kikubwa kwa masuala hayo Central,East and southern Africa na kinashirikiana cooperative college in United Kingdom.Ngoja nikufafanulie jina lake,ili uelewe zaidi ni MOSHI UNIVERSITY COLLEGE OF COOPERATIVE AND BUSINESS STUDIES nikimaanisha kwamba hakitoi tu Bachelor au Master degree katika masuala ya cooperative bali kinatoa nyingi kama fani zifuatazo.Kuna accounting and finance,community economic development,procurement and supply management,microfinance and enterpreneurship development na nyinginezo.Kwa hiyo wewe unayesema eti chuo kibadilishwe kuwa cha education huna sera wala facts pengine chuo cha ushirika unakisikia tu hukijui kwa undani.Kwa lugha ya kijiweni ni kwamba unaprovoke na unakipimia.