Sonship
Senior Member
- Apr 13, 2021
- 147
- 215
Wakubwa nisaidie hapa hivi ni kweli mpaka leo tarehe 26/4/2021 Wafanyakazi wa Benki ya NMB hawajalipwa mishahara yao au Napigwa sound.
Maana kuna Mtu namdai sh.200,000/= anafanya kazi kwenye hiyo benki Karibu mwezi ananizungusha kunilipa deni na Mara ya mwisho nimembana juzi alhamisi akasema ijumaa Wanalipwa Mishahara so wakishalipwa.
Tu ananitumia pesa yangu cha ajabu mpaka leo Kimya. Naomba kuuliza je ni kweli Mpaka leo mshahara wao haujaingia au Ndo naanza kupigwa kalenda tena?