Je, wafanyakazi wa NMB hawajalipwa mshahara?

Sonship

Member
Apr 13, 2021
26
100
Wakubwa nisaidie hapa hivi ni kweli mpaka leo tarehe 26/4/2021 Wafanyakazi wa Benki ya NMB hawajalipwa mishahara yao au Napigwa sound.

Maana kuna Mtu namdai sh.200,000/= anafanya kazi kwenye hiyo benki Karibu mwezi ananizungusha kunilipa deni na Mara ya mwisho nimembana juzi alhamisi akasema ijumaa Wanalipwa Mishahara so wakishalipwa.

Tu ananitumia pesa yangu cha ajabu mpaka leo Kimya. Naomba kuuliza je ni kweli Mpaka leo mshahara wao haujaingia au Ndo naanza kupigwa kalenda tena?
 
srinavas

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
3,483
2,000
Wakubwa nisaidie hapa hivi ni kweli mpaka leo tarehe 26/4/2021 Wafanyakazi wa Benki ya NMB hawajalipwa mishahara yao au Napigwa sound maana kuna Mtu namdai sh.200,000/= anafanya kazi kwenye hiyo benki Karibu mwezi ananizungusha kunilipa deni na Mara ya mwisho nimembana juzi alhamisi akasema ijumaa Wanalipwa Mishahara so wakishalipwa Tu ananitumia pesa yangu cha ajabu mpaka leo Kimya.....Naomba kuuliza je ni kweli Mpaka leo mshahara wao haujaingia au Ndo naanza kupigwa kalenda tena???
Mkuu nakishauri umdai kesho mambo yatakuwa tayari
 
road master

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
1,322
2,000
Sikh hizi hali ya uchumi ngumu uaimkopeshe mtu hela bila bila mdaiwa kuweka dhamana mali yake utalia aisee !!? Mm hapa nilipo nina pikipiki na sabwufa wenyewe wame zisusa hawaji kulipa
 
ras jeff kapita

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
10,952
2,000
Wakubwa nisaidie hapa hivi ni kweli mpaka leo tarehe 26/4/2021 Wafanyakazi wa Benki ya NMB hawajalipwa mishahara yao au Napigwa sound.

Maana kuna Mtu namdai sh.200,000/= anafanya kazi kwenye hiyo benki Karibu mwezi ananizungusha kunilipa deni na Mara ya mwisho nimembana juzi alhamisi akasema ijumaa Wanalipwa Mishahara so wakishalipwa.

Tu ananitumia pesa yangu cha ajabu mpaka leo Kimya. Naomba kuuliza je ni kweli Mpaka leo mshahara wao haujaingia au Ndo naanza kupigwa kalenda tena?
Huyo mtu wa NMB amekujaje kukukopa ropo ropo na masikini kama ww ...!!???
hakika alipotea njia manake laki mbili hela ya beer umemuanzishia mtu uzi....
na hata mwezi haujaisha bado!!??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom