Je, Wabunge wa Tanzania wanalipa PAYE? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Wabunge wa Tanzania wanalipa PAYE?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kichwat, Mar 25, 2011.

 1. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  PAYE imekuwa mrija unaotumika kutudidimiza wafanyakazi. Viwango ni vikubwa mno. Je, wabunge wanalipa? Naomba kujulishwa.
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Kwenye mishahara wabunge wanakatwa PAYE, marupurupu yao ndiyo hayakatwi kodi. Kiongozi anayelipwa mshahara na marupurupu bila ya kukatwa kodi ni rais pekee yake. Ni sheria mbovu sana iliyopitishwa na serikali ya ccm, kiongozi mkuu wa taifa kuishi kwa kutegemea mwananchi wa hali ya chini alipe kodi ili yeye azifaidi bila ya yeye mwenyewe kuchangia chochote kwenye maendeleo ya taifa lake.
   
 3. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Thanx for detailed answer.
   
 4. G

  Godwine JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  wabunge hawalipi PAYE kwenye mishahara yao huu ni wizi
   
 5. C

  Chamkoroma Senior Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu angu wapendwa wana wa JF inauma sn kuona kuwa ubunge umekuwa ni janja yakulifirisi Taifa, kama wanalipa PAYE kwenye mishahara inakuwaje wasilipe kwenyen posho zao wakati wanalipwe 1m kwa lunch 1 wakati mtu wachini atakatwa kila watacho pata, imefikie ss tukubariane kuwa ujanja wa sheria ya kuwalinda wakubwa zikome ili kila mtu achangie GDP ya Taifa na siyo watu wa chini peke yao.
   
Loading...