Je viwanda vya madawa ya kulevya vipo nchi zipi?

lyakurwaD

Member
Jan 10, 2017
50
39
Ndg WanajamiiForums kwanza naomba nitanguluze shukran zang kwenu

Hakika tunaona juhudi za viongozi wanaoendelea kupambana na madawa ya kulevya tumeona watu mbalimbali maarufu na wasio maarufu ila nimebaki na swali la kujiuliza je ni kwa nn viwanda visithibitiwe kwanza kabla ya wauzaji wa hizi dawa? huwa viwanda vinapatikana wap na watengenezaji ni akina nani?

Lakin nimeona niliweke hapa maana hapa ni uwanja mpana
Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom