je vijana Tanzania tunaweza kutawala?

Happy nation

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
679
591
Nimekuwa nikisubiri kwa hamu kuona kuna vijana wangapi wanaogombea urais.lakini sijaona, leo wapiga kura million 15 ni sisi vijana kati ya miaka 16 hadi 35 lakini sioni vijana naona wakishangilia wazee kama magufuli 55,lowasa 63 na slaa 67, lini vijana tutaka nafasi?dunia ingine wana badilisha mfano David Cameron akiwa na miaka 39 aliuza anaongoza chama.sisi tuna matatizo gani? Au hatujiamini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom