Je, video editor gani inafaa kwa hii laptop?

Je, video editor gani inafaa kwa hii laptop?

StudentTeacher

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2019
Posts
6,628
Reaction score
7,855
Je, video editor gani inafaa kwa hii laptop yagu aina ya HP intel,6GB RAM,32-bit processor
 
Adobe Sikushauri Kwa Huo Ukubwa Wa Pc Yako Inaweza Kuwa Sloo
1.Camtasia Studio x
2.WondershareFilmora
Zinapatikana Full Cracked Ndani Ya GetInToPc.com Ni MB Zako Tu.
 
Adobe Sikushauri Kwa Huo Ukubwa Wa Pc Yako Inaweza Kuwa Sloo
1.Camtasia Studio x
2.WondershareFilmora
Zinapatikana Full Cracked Ndani Ya GetInToPc.com Ni MB Zako Tu.
Kwanini utumie cracked version wakati kuna KDENLIVE? Tena iko free kabisa!!
 
Kwanini utumie cracked version wakati kuna KDENLIVE? Tena iko free kabisa!!
Ukiona Software Iko Free Haina Ubora Ukilinganisha na Zile Paid Ones Hiyo KDENLIVE Ina 84 Mb Unalinganisha na Features zilizoko kwenye Software ya 889mb Mpaka 2GB ? Anyway Kulingana Na Mahitaji ya Mtu Ila Ushauri Wangu Hizo Ni Best Endapo PC Ina Low Spects na Pia Kwa Mtu Mwenye Ujuzi Intermediate Ni Nzuri Sana. See You
 
Nice find. Sema pengine ni machine ya 64bit wahuni mtaani wamemuekea os ya 32bit.
Eti wahuni dah
Wapiga window wa kwenye liblary ya seriez za kutafsliwa dah wanaipenda SMADAV huwaambii kitu kwa SMADAV
yaan wao tatizo lolote tu piga WINDOW

sasa ukute hapo hata GRAPHICS driver hawajamuwekea
 
Ufafanuzi zaidi tafadhali
Ana maanisha kwamba kwa pc yako inayo tumia window yenye 32bits hiyo ya 6gb ni useless maana haitumiki yote.

Kwa 32bit processor hata ungekua na total ram yenye 20gb basi jua ingetumia only 4gb.. hizo nyingine zingebaki kama pambo tu.

Na ndicho kinachotokea kwako, japo una 6gb basi jua inayo tumika ni 4gb or less.

Solution ni kuweka 64bit windows!
 
Ana maanisha kwamba kwa pc yako inayo tumia window yenye 32bits hiyo ya 6gb ni useless maana haitumiki yote.

Kwa 32bit ram hata ungekua na total ram yenye 32gb basi jua ingetumia only 4gb.. hizo nyingine zingebaki kama pambo tu.

Na ndicho kinachotokea kwako, japo una 6gb basi jua inayo tumika ni 4gb or less.

Solution ni kuweka 64bit windows!
Oooh!. Asante mkuu. So hii Window iliyopo ndio kikwazo kumbe?
 
Back
Top Bottom