Je utendaji wa Magufuli unafilisi Watanzania?

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,693
Naomba wachumi, wanasiasa, wanasheria, wafanyabiashara, waajiriwa, wanafunzi na wakufunzi tujadili hapa kidogo.

Is Magufulication Bankrupting Tanzania and Tanzanians?

Kwa lugha yetu. Je utendaji wa Magufuli inafilisi Tanzania na watanzani?

Mnakaribishwa kujadili bila mihemko. Majibu ya Yes na No hatuyataki. Toa sababu maana naimani wengi wenu ni wasomi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakwenda Zimbabwe yeleke mama we
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Naomba wachumi, wanasiasa, wanasheria, wafanyabiashara, waajiriwa, wanafunzi na wakufunzi tujadili hapa kidogo.

Is Magufulication Bankrupting Tanzania and Tanzanian?

Kwa lugha yetu. Je utendaji wa Magufuli inafilisi Tanzania na watanzani?

Mnakaribishwa kujadili bila mihemko. Majibu ya Yes na No hatuyataki. Toa sababu maana naimani wengi wenu ni wasomi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok,
Kuna issue mbili naziona hapa. Moja ni issue sawa kabisa na ingine sio sawa.

Issue iliyo sawa ni kua ni kweli watu walizoea kuchezea sana hela. Sababu hasa ni kua zilikua zikipatikana kwa urahisi tu mitaani. Ukiipata leo hela ya dili basi huna sababu ya kusevu sababu kesho utakutana na dili lingine pia. Hawa wakikatiwa source zao (dili) ni sawa kabisa.

Issue ya pili ni kua Serikali imeamua kuhamishia hela zake BOT, badala ya hela kukaa kwenye Commercial Banks. Sasa BOT hawatoi mikopo kwa individuals, na Commercial Banks zinazotoa Mikopo hazina kiasi kikubwa cha hela baada ya hela kuhamia BOT.

So hata Money Circulation mitaani inakua adimu, kitu ambacho kina athari kwenye "Multiplier-effect" ya uchumi.
 
Tatizo ni serikali inatakiwa kutafuta vyanzo vya mapato vipya. Na sio kutegemea vyanzo vile vile na kutaka wabadilishe mikataba, kihuni huni. Kama tulishapigwa kwenye mikataba unatakiwa ufate misingi mzuri ya kuvunjwa mkataba
 
Yes but not only that but also the udugu na ujamaa amongst citizens are on the verge of disappearing on political and undugulization grounds!
 
Ok,
Kuna issue mbili naziona hapa. Moja ni issue sawa kabisa na ingine sio sawa.

Issue iliyo sawa ni kua ni kweli watu walizoea kuchezea sana hela. Sababu hasa ni kua zilikua zikipatikana kwa urahisi tu mitaani. Ukiipata leo hela ya dili basi huna sababu ya kusevu sababu kesho utakutana na dili lingine pia. Hawa wakikatiwa source zao (dili) ni sawa kabisa.

Issue ya pili ni kua Serikali imeamua kuhamishia hela zake BOT, badala ya hela kukaa kwenye Commercial Banks. Sasa BOT hawatoi mikopo kwa individuals, na Commercial Banks zinazotoa Mikopo hazina kiasi kikubwa cha hela baada ya hela kuhamia BOT.

So hata Money Circulation mitaani inakua adimu, kitu ambacho kina athari kwenye "Multiplier-effect" ya uchumi.
Faida ya jambo hilo kwa Watanzania ni nini ?
 
Naomba wachumi, wanasiasa, wanasheria, wafanyabiashara, waajiriwa, wanafunzi na wakufunzi tujadili hapa kidogo.

Is Magufulication Bankrupting Tanzania and Tanzanian?

Kwa lugha yetu. Je utendaji wa Magufuli inafilisi Tanzania na watanzani?

Mnakaribishwa kujadili bila mihemko. Majibu ya Yes na No hatuyataki. Toa sababu maana naimani wengi wenu ni wasomi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unauliza ukitumia majibu ,tujibu nini tena hapo!!?? .labda kwakuongezea tutalipa madeni na fidia mpaka miaka 20 ijayo bila kuyamaliza
 
Ok,
Kuna issue mbili naziona hapa. Moja ni issue sawa kabisa na ingine sio sawa.

Issue iliyo sawa ni kua ni kweli watu walizoea kuchezea sana hela. Sababu hasa ni kua zilikua zikipatikana kwa urahisi tu mitaani. Ukiipata leo hela ya dili basi huna sababu ya kusevu sababu kesho utakutana na dili lingine pia. Hawa wakikatiwa source zao (dili) ni sawa kabisa.

Issue ya pili ni kua Serikali imeamua kuhamishia hela zake BOT, badala ya hela kukaa kwenye Commercial Banks. Sasa BOT hawatoi mikopo kwa individuals, na Commercial Banks zinazotoa Mikopo hazina kiasi kikubwa cha hela baada ya hela kuhamia BOT.

So hata Money Circulation mitaani inakua adimu, kitu ambacho kina athari kwenye "Multiplier-effect" ya uchumi.
Mkuu mbona uko nje ya mada????
 
Ok,
Kuna issue mbili naziona hapa. Moja ni issue sawa kabisa na ingine sio sawa.

Issue ya pili ni kua Serikali imeamua kuhamishia hela zake BOT, badala ya hela kukaa kwenye Commercial Banks. Sasa BOT hawatoi mikopo kwa individuals, na Commercial Banks zinazotoa Mikopo hazina kiasi kikubwa cha hela baada ya hela kuhamia BOT.

So hata Money Circulation mitaani inakua adimu, kitu ambacho kina athari kwenye "Multiplier-effect" ya uchumi.
Jibu sahihi ni hili la pili hilo la kwanza ni la kisiasa zaidi!

Namimi nauliza swali...

Wote tunajua ajira hazijatolewa, hamna ongezeko la mishahara, biashara hazitoki!

Nini faida ya kuweka pesa BoT kiuchumi?? Kuna haja gani ya kuweka pesa bot wakati hali mtaani ni mbaya??? faida ya hii ninini??
 
Kuna vitu ukividiscuss kwa mlengo wa siasa huwezi ukapata jibu sahihi.

Mtu akikwambia kwamba Magufuli anaifilisi inchi muangalie kwa jicho baya sana.
Kwenye siasa kila jambo linawezekana, Hata ukisema leo kwamba nchi imefilisika utasema ndio.

Embu jiulize maswali machache kabla hujamjibu huyu ndugu.
1. Kuna miradi mingapi inafanywa na serikali ikiwemo ya maji,barabara,reli n.k
2. Kuna mfanya kazi yeyote ameshakosa kulipwa mishahara?
3. Mapato ya serikali yameshuka kwa kiwango ngani?
4. Kuna nchi yeyete imejitoa kufanya kazi na TZ?
5. Vyanzo vya mapato vilivyopo nchini vimeyumba? Mfano - Bandali, Utalii na Kilimo?

Kuweni watulivu JPM ajenge nchi..Mengine ni tension ya wanasiasa tu.
Kuna mda walishasema bandali hakuna hakuna meli saivi mizigo inakosa wa kuipakua.
Wanasiasa sio watu wazuri hata iku moja.
Ilitupata kuwakataa.
 
Back
Top Bottom