Je utendaji wa Magufuli unafilisi Watanzania?

Hili mbona siyo swali la kudiskasi mkuu, ni true and false kwesheni
Naomba wachumi, wanasiasa, wanasheria, wafanyabiashara, waajiriwa, wanafunzi na wakufunzi tujadili hapa kidogo.

Is Magufulication Bankrupting Tanzania and Tanzanians?

Kwa lugha yetu. Je utendaji wa Magufuli inafilisi Tanzania na watanzani?

Mnakaribishwa kujadili bila mihemko. Majibu ya Yes na No hatuyataki. Toa sababu maana naimani wengi wenu ni wasomi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye mtihani ukijibu hivi unapata maksi za BASHITE
Kuna vitu ukividiscuss kwa mlengo wa siasa huwezi ukapata jibu sahihi.

Mtu akikwambia kwamba Magufuli anaifilisi inchi muangalie kwa jicho baya sana.
Kwenye siasa kila jambo linawezekana, Hata ukisema leo kwamba nchi imefilisika utasema ndio.

Embu jiulize maswali machache kabla hujamjibu huyu ndugu.
1. Kuna miradi mingapi inafanywa na serikali ikiwemo ya maji,barabara,reli n.k
2. Kuna mfanya kazi yeyote ameshakosa kulipwa mishahara?
3. Mapato ya serikali yameshuka kwa kiwango ngani?
4. Kuna nchi yeyete imejitoa kufanya kazi na TZ?
5. Vyanzo vya mapato vilivyopo nchini vimeyumba? Mfano - Bandali, Utalii na Kilimo?

Kuweni watulivu JPM ajenge nchi..Mengine ni tension ya wanasiasa tu.
Kuna mda walishasema bandali hakuna hakuna meli saivi mizigo inakosa wa kuipakua.
Wanasiasa sio watu wazuri hata iku moja.
Ilitupata kuwakataa.
 
Nazungumzia effects za Maghufuli policies in our economy kama zime tufilisi ama lah, au we wajua mada yazungumzia nini??

Tatizo mnahamisha notes humu na vi handouts hamzungumzii uhalisia, ndio maana wengi mnafeli economics, BOT inamu effect vipi muuza nyanya mitumba ikiwa nguo za jumla zimepanda, unapotumia monetary policy kupunguza money circulation watu watategemea kushuka kwa bei ya vitu, kwetu sisi ni viceversa, ni sawa na kutumia 10,000 kwa kila siku kwa mwezi ukasave milioni, halafu ukaamua kubana matumizi kwa kutumia 5,000 kila cku kwa mwezi mwingine halafu unajikuta umesave laki 2,under ceteris paribus, sasa hapo umejenga au umebomoa
 
Jibu sahihi ni hili la pili hilo la kwanza ni la kisiasa zaidi!

Namimi nauliza swali...

Wote tunajua ajira hazijatolewa, hamna ongezeko la mishahara, biashara hazitoki!

Nini faida ya kuweka pesa BoT kiuchumi?? Kuna haja gani ya kuweka pesa bot wakati hali mtaani ni mbaya??? faida ya hii ninini??
Ni roho mbaya tu.

666
 
Kuna vitu ukividiscuss kwa mlengo wa siasa huwezi ukapata jibu sahihi.

Mtu akikwambia kwamba Magufuli anaifilisi inchi muangalie kwa jicho baya sana.
Kwenye siasa kila jambo linawezekana, Hata ukisema leo kwamba nchi imefilisika utasema ndio.

Embu jiulize maswali machache kabla hujamjibu huyu ndugu.
1. Kuna miradi mingapi inafanywa na serikali ikiwemo ya maji,barabara,reli n.k
2. Kuna mfanya kazi yeyote ameshakosa kulipwa mishahara?
3. Mapato ya serikali yameshuka kwa kiwango ngani?
4. Kuna nchi yeyete imejitoa kufanya kazi na TZ?
5. Vyanzo vya mapato vilivyopo nchini vimeyumba? Mfano - Bandali, Utalii na Kilimo?

Kuweni watulivu JPM ajenge nchi..Mengine ni tension ya wanasiasa tu.
Kuna mda walishasema bandali hakuna hakuna meli saivi mizigo inakosa wa kuipakua.
Wanasiasa sio watu wazuri hata iku moja.
Ilitupata kuwakataa.
Mkuu hiyo nchi anaijengea wapi maana sijaona hata watu wakichimba msingi?

Mkuu tatizo unatega sikio Ufipa peke yake.
Nenda basi hata mtaani hapo unapoishi ama wapigie ndugu zako uwaulize kama umeme umeshafika huko kwao.
 
Tatizo mnahamisha notes humu na vi handouts hamzungumzii uhalisia, ndio maana wengi mnafeli economics, BOT inamu effect vipi muuza nyanya mitumba ikiwa nguo za jumla zimepanda, unapotumia monetary policy kupunguza money circulation watu watategemea kushuka kwa bei ya vitu, kwetu sisi ni viceversa, ni sawa na kutumia 10,000 kwa kila siku kwa mwezi ukasave milioni, halafu ukaamua kubana matumizi kwa kutumia 5,000 kila cku kwa mwezi mwingine halafu unajikuta umesave laki 2,under ceteris paribus, sasa hapo umejenga au umebomoa
Wewe sijui Uchumi wako umesomea wapi?
Monetary Policy as other policies/theories hua ina-work pale ambapo "Other things kept constant". Unabana hela kwenye Circulation wakati huo huo Kodi inaongezeka au ulikua hukusanyi ifuatavyo then unaanza kukusanya hapo bei inashuka vipi sasa?? Je hiyo Mitumba inatozwa kodi ile ile iliyokua ikitozwa awali?? Bei ya Nyanya imepanda sababu ya msimu au nini kimesababisha??

Lakini je ni kila kitu kimepanda bei siku hizi?? Hujasikia watu wanauza assets zao kwa bei za kutupa still wanakosa wateja?? Hujasikia Wenye nyumba wamelazimika kupunguza kodi? Hujasikia lodges na Guest Houses zimeshuka bei?? Hata kama hazina umuhimu kwa Wananchi but still kuna reductions kwenye prices ya vitu vingi sana.
 
Kuna vitu ukividiscuss kwa mlengo wa siasa huwezi ukapata jibu sahihi.

Mtu akikwambia kwamba Magufuli anaifilisi inchi muangalie kwa jicho baya sana.
Kwenye siasa kila jambo linawezekana, Hata ukisema leo kwamba nchi imefilisika utasema ndio.

Embu jiulize maswali machache kabla hujamjibu huyu ndugu.
1. Kuna miradi mingapi inafanywa na serikali ikiwemo ya maji,barabara,reli n.k
2. Kuna mfanya kazi yeyote ameshakosa kulipwa mishahara?
3. Mapato ya serikali yameshuka kwa kiwango ngani?
4. Kuna nchi yeyete imejitoa kufanya kazi na TZ?
5. Vyanzo vya mapato vilivyopo nchini vimeyumba? Mfano - Bandali, Utalii na Kilimo?

Kuweni watulivu JPM ajenge nchi..Mengine ni tension ya wanasiasa tu.
Kuna mda walishasema bandali hakuna hakuna meli saivi mizigo inakosa wa kuipakua.
Wanasiasa sio watu wazuri hata iku moja.
Ilitupata kuwakataa.
Twende pamoja maaba naona unaenda ninakoelekea. Nimeshuka kwenye gari lililokuwa linanipeleka kusiko.
Hebu tumuache kiongozi apige kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok,
Kuna issue mbili naziona hapa. Moja ni issue sawa kabisa na ingine sio sawa.

Issue iliyo sawa ni kua ni kweli watu walizoea kuchezea sana hela. Sababu hasa ni kua zilikua zikipatikana kwa urahisi tu mitaani. Ukiipata leo hela ya dili basi huna sababu ya kusevu sababu kesho utakutana na dili lingine pia. Hawa wakikatiwa source zao (dili) ni sawa kabisa.

Issue ya pili ni kua Serikali imeamua kuhamishia hela zake BOT, badala ya hela kukaa kwenye Commercial Banks. Sasa BOT hawatoi mikopo kwa individuals, na Commercial Banks zinazotoa Mikopo hazina kiasi kikubwa cha hela baada ya hela kuhamia BOT.

So hata Money Circulation mitaani inakua adimu, kitu ambacho kina athari kwenye "Multiplier-effect" ya uchumi.
Yes...umejibu vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe sijui Uchumi wako umesomea wapi?
Monetary Policy as other policies/theories hua ina-work pale ambapo "Other things kept constant". Unabana hela kwenye Circulation wakati huo huo Kodi inaongezeka au ulikua hukusanyi ifuatavyo then unaanza kukusanya hapo bei inashuka vipi sasa?? Je hiyo Mitumba inatozwa kodi ile ile iliyokua ikitozwa awali?? Bei ya Nyanya imepanda sababu ya msimu au nini kimesababisha??

Lakini je ni kila kitu kimepanda bei siku hizi?? Hujasikia watu wanauza assets zao kwa bei za kutupa still wanakosa wateja?? Hujasikia Wenye nyumba wamelazimika kupunguza kodi? Hujasikia lodges na Guest Houses zimeshuka bei?? Hata kama hazina umuhimu kwa Wananchi but still kuna reductions kwenye prices ya vitu vingi sana.

Kinachopelekea kupunguza money circulation ni inflation na inflation inasababishwa na mfumuko wa bei sasa unazuiaje mfumuko wa bei kwa vitu kupanda bei? Ushasema watu wanauza vitu kwa bei ya kutupa means bei imeshuka, but tuangalie kwa watanzania zaidi ya 75% ambao maisha yao ysnategemea sukari, mchele, mahindi, matibabu, vipi kuhusu uhalisia wa hvy vitu, bei inashuka au inazidi kupanda?
 
System nzima ni mbovu lazima kuwe na upotevu mkubwa. Hakuna mawasilino katika structure ya uongozi wake. Mmoja anasema hivi mwingine anakuja kukanusha baada ya kitu wakati mwingine kimeshafanyika that's Nonsense
 
Back
Top Bottom