Well, labda nigusie huo upande mwingine wa hoja.
Wakati Obama akiwa Ofisini, Chama cha Republican kilitishia kua Makubaliano yoyote anayotaka kuyafanya Obama na Iran kuhusu Nuclear, watayavunja pindi wakichukua Ofisi.
Obama hakujali. Alisimamia msimamo wake huo.
Obama alipoteza viti vingi kwenye Congress.
Na akashindwa kumuweka Hillary kweye Uraisu.
Hivyo mpaka hapa Trump ni kama anatetea ilani ya Chama chake cha Republican chenye viti vingi kwenye seneti.
Upande wa pili ni US old foes; Israel na Saudi kingdom.
Ndani ya Iran kuna mtu anaitwa Hajji Qassam Soleimani. Kiongozi wa kikosi maalumu kcha Islamic Revolution Guard Corps(IRGC) ama Quds force.
Meja Jenerali Qussam Soleimani ndiye mastermind wa Eneo la middle East na Hadi Afghanistan.
Ana operate kwa uweledi mkubwa kiasi cha kuzitia hofu mataifa ya kisunni ikiwemo mataifa ya Magharibi na Israel.
Ndiye alieimarisha Nguvu ya ushawishi ya Iran katika Middle East.
Qussam huendesha operations mbalimbali za kupambana na Israel, USA, na mataifa washirika wa Mataifa ya kisunni.
Iran kupitia kikosi chake wamefanikiwa ku injinia mauaji mbalimbali ya Askari wa USA waliokua pale Iraq wakati ule wa Uvamizi wa USA nchini Iraq mwaka 2003, Kipindi ambapo Jeshi la Marekani chini ya kiongozi wa Muda mmarekani Paul Bremmer likiwa linamsaka Saddam Hussein hadi lilipompata.
Wanajeshi wengi wa US waliuwawa kwa mabomu na milipuko ya kutegwa kiufundi.
Hivyo Meja jenerali Qassem alifanikiwa kuimarisha upinzani mkubwa dhidi ya majeshi washirika wa Marekani pale Iraq.
Qussam anao ushawishi mkubwa kwa Taifa La Iraq hivi sasa. Ambao lipo chini ya serikali ya madhehebu ya Shia.
Pia Qassam anaamini Israel inakwenda kufa, kupitia matumaini haya, amekua na juhudi kubwa kuhakikisha hilo linatokea ndani ya wakati wake.
Mahesabu haya ndio hufanya waendeleze hujuma za kijeshi na kigaidi dhidi ya taifa hilo la kiyahudi.
Pia Qassem ni Mtiifu kwa kiongozi wa Taifa lao Ayatollah Khamenei.
Qassem Hufadhili kundi kuu la Hezbollah ambalo ni hasimu na Israeli. pia wana mafungamano na Hamas hivi sasa.
Pia Qassem alikua akitoa Hongo kwa vikosi vya kikurdi ili apitishe silaha kwenda Syria kumsaidia Bashaar Al Sadr ambaye ni Mshia mwenzake ili Kuimarisha ressistance nchini Syria. Hasa kipindi ambacho kulikua na vita pale nchini syria.
Hivi sasa baada ya Trump kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel. Qassem amekua akitoa sapoti ya nguvu zaidi kwa vikundi vya islamic jihadists na vya kigaidi dhidi ya Israel ikiwemp Hamas.
Hapa ndio utaelewa kwanini USA na Israel zinakosa Usingizi.
Pia kupitia kivuli cha huyu mtu, amekua akizihujumu mataifa ya kisunni mpaka Yemen.
Vitendo vyake vimekua vya uweledi. Kiasi hata taaisi za ujasusi za CIA, Mossad. Na mataifa ya kisunni yakiongozwa na Saudi Arabia yamekua macho kufuatilia mienendo yake eneo lile.
Kwahiyo wanaotaka kujadili uhusiano wa USA na Iran . Kabla hawajamlaumu USA. Waanze kwanza kufahamu nguvu ya Taifa hilo la kishia pale middle East .
Iran pia wamekua wakitumia Drones kwa kufanya ujasusi Nchini Israel, bila kusahahu Cyber attack kwenye Mifumo ya kijeshi ya ki electronic ya USA na Israel.
Maelezo mazurr sana; japo yanatoka na kuingia kwenye mstarr wa hoja
Well, labda nigusie huo upande mwingine wa hoja.
Wakati Obama akiwa Ofisini, Chama cha Republican kilitishia kua Makubaliano yoyote anayotaka kuyafanya Obama na Iran kuhusu Nuclear, watayavunja pindi wakichukua Ofisi.
Obama hakujali. Alisimamia msimamo wake huo.
Obama alipoteza viti vingi kwenye Congress.
Na akashindwa kumuweka Hillary kweye Uraisu.
Hivyo mpaka hapa Trump ni kama anatetea ilani ya Chama chake cha Republican chenye viti vingi kwenye seneti.
Upande wa pili ni US old foes; Israel na Saudi kingdom.
Ndani ya Iran kuna mtu anaitwa Hajji Qassam Soleimani. Kiongozi wa kikosi maalumu kcha Islamic Revolution Guard Corps(IRGC) ama Quds force.
Meja Jenerali Qussam Soleimani ndiye mastermind wa Eneo la middle East na Hadi Afghanistan.
Ana operate kwa uweledi mkubwa kiasi cha kuzitia hofu mataifa ya kisunni ikiwemo mataifa ya Magharibi na Israel.
Ndiye alieimarisha Nguvu ya ushawishi ya Iran katika Middle East.
Qussam huendesha operations mbalimbali za kupambana na Israel, USA, na mataifa washirika wa Mataifa ya kisunni.
Iran kupitia kikosi chake wamefanikiwa ku injinia mauaji mbalimbali ya Askari wa USA waliokua pale Iraq wakati ule wa Uvamizi wa USA nchini Iraq mwaka 2003, Kipindi ambapo Jeshi la Marekani chini ya kiongozi wa Muda mmarekani Paul Bremmer likiwa linamsaka Saddam Hussein hadi lilipompata.
Wanajeshi wengi wa US waliuwawa kwa mabomu na milipuko ya kutegwa kiufundi.
Hivyo Meja jenerali Qassem alifanikiwa kuimarisha upinzani mkubwa dhidi ya majeshi washirika wa Marekani pale Iraq.
Qussam anao ushawishi mkubwa kwa Taifa La Iraq hivi sasa. Ambao lipo chini ya serikali ya madhehebu ya Shia.
Pia Qassam anaamini Israel inakwenda kufa, kupitia matumaini haya, amekua na juhudi kubwa kuhakikisha hilo linatokea ndani ya wakati wake.
Mahesabu haya ndio hufanya waendeleze hujuma za kijeshi na kigaidi dhidi ya taifa hilo la kiyahudi.
Pia Qassem ni Mtiifu kwa kiongozi wa Taifa lao Ayatollah Khamenei.
Qassem Hufadhili kundi kuu la Hezbollah ambalo ni hasimu na Israeli. pia wana mafungamano na Hamas hivi sasa.
Pia Qassem alikua akitoa Hongo kwa vikosi vya kikurdi ili apitishe silaha kwenda Syria kumsaidia Bashaar Al Sadr ambaye ni Mshia mwenzake ili Kuimarisha ressistance nchini Syria. Hasa kipindi ambacho kulikua na vita pale nchini syria.
Hivi sasa baada ya Trump kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel. Qassem amekua akitoa sapoti ya nguvu zaidi kwa vikundi vya islamic jihadists na vya kigaidi dhidi ya Israel ikiwemp Hamas.
Hapa ndio utaelewa kwanini USA na Israel zinakosa Usingizi.
Pia kupitia kivuli cha huyu mtu, amekua akizihujumu mataifa ya kisunni mpaka Yemen kwa kuwapa silaha wapiganaji wa Houthi ambao hushambulia eneo la Saudi Arabia.
Vitendo vyake vimekua vya uweledi. Kiasi hata taasisi za ujasusi za CIA na Mossad. Na mataifa ya kisunni yakiongozwa na Saudi Arabia yamekua macho kufuatilia mienendo yake eneo lile.
Kwahiyo wanaotaka kujadili uhusiano wa USA na Iran . Kabla hawajamlaumu USA. Waanze kwanza kufahamu nguvu ya Taifa hilo la kishia pale middle East .
Iran pia wamekua wakitumia Drones kwa kufanya ujasusi Nchini Israel, bila kusahahu Cyber attack kwenye Mifumo ya kijeshi ya ki electronic ya USA na Israel.
Arab League wakiongozwa na Saudi Arabia walifanya mkutano wao, wakatangaza Kua pale middle East, Iran ndio Kitisho na sio Israel.
Ukweli wa maelezo yao ni kwamba Iran na Saudi wanafuata madhehebu mawili makubwa ya Uislamu yaani Shia na Sunni. Na kila upande unataka kutawala eneo lile. Hivyo ikiwa nchi zilizoko pale zina waumini wengi wa Sunni basi zitatafuta msaada na kuungwa mkono na Saudi Kingdom na zile nchi zenye waumini wengi wa Shia basi zitamfuata Iran ili kupata sapoti na Usalama wao. Na hii imepelekea kuo eneo la middle East kua na makundi makuu mawili yaani Shia na Sunni( shia-Sunni devide).
Vita vyao haviwezi kuisha kwasababu vina sababu za kidini.
Na Saudi wananunua Silaha nyingi kutoka USA kwa lengo la ku counter Nguvu ya taifa hilo la wa Persia(Iran).
*Update*