msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,763
- 3,204
Umenena vyema Mkuu.Iran ikifutwa ataibuka 'Mkorofi' Mwingine
Haitotokea Mataifa yote Duniani yawe tiifu Kwa America
Umenena vyema Mkuu.Iran ikifutwa ataibuka 'Mkorofi' Mwingine
Haitotokea Mataifa yote Duniani yawe tiifu Kwa America
Anaota mkuu mkaushie!Nimekuuliza aliyekwambia mie ni Mshia au Msunni nani...?
Nimekuuliza aliyekwambia mie ni Mshia au Msunni nani...?
Bye byeNa mimi nimekuuliza unafikiri nimekusahau?
Bye bye
Hili ni andiko bila shaka, ungetuwekea na reference ili tuweze kulitafakari kwa ukamilifu.Mbona mataifa wanafanya ghasia?
Chuki gani kwa mfano...?Bye too
Acha chuki za race, nisingekukosoa kama ungesema sisi binadamu wote ni wanafiki. Umekosea kushambulia Race sababu binadamu wote ni single specie
Wewe kama ni muislamu, lazima utakuwa umeelimika. That's my guess although I stand to be corrected.Chuki gani kwa mfano...?
Mimi ni Muislam mkuu, na uislamu wangu hauna haufungamani na Shia Wala Sunni.
Ktk kitabu chetu Qur'an Tukufu hakuna Aya inayo zungumzia shia wala Suni
Na hata mtume wetu wa mwisho Muhammad's ( sw) hakutuachia Dhehebu lolote baina ya Muislamu kwa Muislamu. Ila alituachia ushikamano baina ya muilsamu na Muislamu kuwa kitu kimoja.
Na ndio maana ukiangalia Asilimia kubwa duniani Nchi nyingi za kiarabu hakuna Amani.
Iraq, Libya,Afghanistan, Syria,Yemen, Somalia nk.
Sasa hapo tujiulize mimi na wewe chanzo ni nini..?
Na kama wao wanaumoja wao kwanini hawana ushikamano kama EU...?
Chuki gani kwa mfano...?
Mimi ni Muislam mkuu, na uislamu wangu hauna haufungamani na Shia Wala Sunni.
Ktk kitabu chetu Qur'an Tukufu hakuna Aya inayo zungumzia shia wala Suni
Na hata mtume wetu wa mwisho Muhammad's ( sw) hakutuachia Dhehebu lolote baina ya Muislamu kwa Muislamu. Ila alituachia ushikamano baina ya muilsamu na Muislamu kuwa kitu kimoja.
Na ndio maana ukiangalia Asilimia kubwa duniani Nchi nyingi za kiarabu hakuna Amani.
Iraq, Libya,Afghanistan, Syria,Yemen, Somalia nk.
Sasa hapo tujiulize mimi na wewe chanzo ni nini..?
Na kama wao wanaumoja wao kwanini hawana ushikamano kama EU...?
[emoji23] [emoji23]Sasa mzee kwani bara lako lina ushikamano kama EU? Asia ina mshikamano kama EU? Latin America ina mshikamano kama EU?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Fundi25Anaota mkuu mkaushie!
Wengi tunaandika Conspiracies. Kwakua hatujui mfumo wa Uchumi unavyooperate duniani .Kati ya red-lines zinazochorwa na watawala wa marekan kwa sir ni ku-drop dollar na kutumia currency nyingine katika biashara za kimataifa. Iran kwa sasa iko katika hatua ya kuacha kabisa kutumia dola katika mzunguko wa fedha wa kimataifa.
Hili huwa halina mjadala wala kutafuta suluhisho LA kidiplomasia inapoonekana nchi yenye nguvu kwenye mzunguko wa pesa dunian inaamua ku-ditch dollar.
Iraq walifanya maamuz lakini kabla ya utekelezaj wakasingiziwa wana silaha za maangamiz., na utawala wa Sadam H. ukafutilkwa mbali
Gadaf wa Libya akiwa kwenye hatua za mwisho kabisa kuhama kwenye mfumo wa dolla Libya ikavamiwa kijeshi na kusambaratishwa.
Libya wangefanikiwa uamuz huu bila shaka kabisa mzunguko wa dollar ungepotea Africa
Hizi ghasia zilizotokea na hata sasa zinaendelea katika nchi za kiarabu; ni njama mahsusi ya CIA kuzidhoofisha kabisa zisifikie lengo LA kujitegemea katika mifumo ya fedha ambayo ni uti wa mgongo wa chumi za nchi zao.
Anaweza asivamie kijeshi kama alivyofanya Iraq, Libya na kwingine lakini akatumia washirika wake wa karibu ambao ni SMART kama Israel kuufutilia mbali utawala wa Tehran
Licha ya ushawishi wa Ufaransa, UK, Ujeruman, Rais Trumph ametishia ku-walk out of the 'nuclear deal' ili ipatikane tu sababu ya kuingia kwenye mgogoro na watawala wa Iran.
Wale wasoma nyakati za siasa za kimataifa hawatabisha hiki kiutafiti....
[emoji23] [emoji23]
Mbona hunijibu umekazana maswali tuu...?
Aliyekwambia mie ni Mshia au Msunni nani...?
Na hizo chuki ulizonishutumu kuwa nazo ni chuki gani...?
Kama walithubutu kumuua Fatima (18) muda mfupi baada ya Baba Yake (SAW) kulala mauti sijui kama uliloeleza hapo litawezekana hususan wenyewe kwa wenyewe. Haya mavurugu hapo middle east ni ya tangu vizazi Mkuu; sio ya juzi wala jana. Hussein na Hassan vivyo hivyo wakawatenda mabaya hiyo Marekani kama taifa wala haikuwa imefikiriwa kuwepo....
Lakini ajui kuwa wengine tunahitaji Amani iwepo mashariki ya kati ili Dunia iwe salama zaidi vizazi na vizazi.
Maelezo mazurr sana; japo yanatoka na kuingia kwenye mstarr wa hojaWengi tunaandika Conspiracies. Kwakua hatujui mfumo wa Uchumi unavyooperate duniani .
1. Kwanza Wamarekani ndio wenye mabilionea wengi zaidi Duniani.
Na ubilionea unapimwa kwa pesa yenye nguvu ambayo ni Dollar.
Kushusha thamani ya Dollar ni kusababisha kufilisika kwa hawa ma tycoons kama Jeff Bezos, Billy Gates, Mark Zuckerberg, Slim na wengineo .
Na hii itasababisha kuanguka kwa Taifa la USA. Na dunia kuingia kwenye great recession.
2. Nchi nyingi duniani zinapendelea ku peg hela zao kwa thamani ya Dollar. Sababu Dola sio Volatile currency . yaani ipo stable in most cases. Kulinganisha na Pesa za mataifa mengi.
3. Kama ni swala la kuiondoa Dola kwenye mzunguko(Exchange), jambo hili lingefanywa na Wachina manake wako kwenye position ya kufanya hivyo. Kwakua wana uchumi Mkubwa.
Wangepandisha thamani ya Pesa yao. Ili iweze kuitoa dollar kwenye demand ya Foreign exchange.
Lakini Wachina wanajua, pale watakapo pandisha thamani ya currency yao ya Yuan. Uchumi wao utashuka. Kwakua hali za maisha ya wachina yaani standard of living of Chinese ni ya Chini kulinganisha na USA. Hivyo thamani ya Pesa ya wachina ina akisi Hali za waChina nyumbani. Ndio maana ni rahisi kwa watu wa mataifa ya Africa kwenda China kuliko kwensa USA. Kwasababu ya aaffordability.
China inatajirika kwasababu inanunua Dollar nyingi zaidi kutoka hazina ya USA( US Treasurys) na kuuza pale zinapopanda thamani.
Hii pia wanaifanya waJapan dhidi ya Dollar.
Ndio maana inasababisha USA kua na Deni( kwa mfano kwa mwaka 2018, Debt kubwa kwa share ya Dunia..(108% GDP)
WAKATi China wana shea ya deni lao kwa GDP ni 96.3%.
WaChina wasiponunua US dollar kwenye Us Treasurys kitakachotokea ni kupanda kwa Interest rate.
Ambapo itasababisha recession. Hivyo wananunua Dola kisha wanaikopesha tena US.
Na hapa ndio hupata nguvu ya kuathiri maamuzi ya kifedha ya wamarekani.
Ushindani wa kibiashara kati ya China na USA hauko Balanced. Yaani inakula kwa uSA zaidi. China na Japan ndio wanufaika katika biashara zao.
Kwasababu
-USA haina vitu vingi ambavyo inauza kule China kulinganisha na Vitu vya waChina vinavyouzwa USA.
- Bei za bidhaa za wachina zao zina thamani ya Chini ambapo vinaathiri viwanda vya wamarekani kwenye ushindani.
Ndio maana unamuona Donald Trump anakazana kujaribu kuongeza kodi kwa Wachina. Ili kupunguza gepu la deni la Nje wanalodaiwa na makampuni ya Wachina ambalo linalozidi kukua kadri muda unavyosogea.
4. Swala la Iran kutotumia Dola haliwezi kuathiri kitu, kwasababu moja ya mambo ambayo wachumi wengi hawasemi kwenye biashara ni dhana nzima ya Patriotism. Ambayo imejificha kwenye kitu wanaita "Trade Protectionism".
Tabia ya raia wa mataifa kupendelea kununua Bidhaa zinazozalishwa na taifa lao pekee yaani zilizoandikwa mfano Made in China. Sisi huku Africa hatuangalii sana hili. Tena tuna kasumba ya kupenda vya nje kuliko vya ndani.
Lakini kwa upande wa Wazungu:
wameshikilia World Bank(WB)na International Monetary Fund(IMF), ambapo Raisi wa WB ni lazima atoke USA na wa IMF ni lazima Atoke barani Ulaya. Hii inatosha kukueleza jinsi gani hawa watu huzitumia hizi Taasisi za Fedha kulinda maslahi yao popote duniani.
Sasa Iran hatoshi kufanya sabotage ya Dollar.
Kwanza hata kwenye ule muungano wa BRICS unaojumuisha Brazil, Russia, India, Chona na SouthAfrica hayupo.
Itamgharimu Iran kuyashawishi Mataifa Tajiri yote ya Ulaya magharibi na mashariki, Africa na Latino kuweza kufifisha dola ili hela ya Iran ionekane au ya nchi nyingine ionekane ndio dili . Manake kwenye mafuta pekee yake yanauzwa kwa Dola(Petrodollar). Iwe Saudia, Qatar, Ulaya.
Euro wamejaribu kuishusha Dollar lakini hawajafanikiwa.
5. Gaddafi ndio nani?. Em toeni hizi conspirancy. Hasingeweza ndio maana alichemka!.
Gold kwenye soko la dunia inatabia ya kushuka duniani.
Mataifa yote ya ki Africa tuna daiwa na wazungu madeni lukuki. Na mbaya zaidi tu masikini tusiojiweza.
Huyu dikteta Gaddafi wala usimjadili humu ndani.
D.D.D.Kwani we tumeanza kubishana leo humu?
Well, labda nigusie huo upande mwingine wa hoja.Maelezo mazurr sana; japo yanatoka na kuingia kwenye mstarr wa hoja
FyuuuuWell, labda nigusie huo upande mwingine wa hoja.
Wakati Obama akiwa Ofisini, Chama cha Republican kilitishia kua Makubaliano yoyote anayotaka kuyafanya Obama na Iran kuhusu Nuclear, watayavunja pindi wakichukua Ofisi.
Obama hakujali. Alisimamia msimamo wake huo.
Obama alipoteza viti vingi kwenye Congress.
Na akashindwa kumuweka Hillary kweye Uraisu.
Hivyo mpaka hapa Trump ni kama anatetea ilani ya Chama chake cha Republican chenye viti vingi kwenye seneti.
Upande wa pili ni US old foes; Israel na Saudi kingdom.
Ndani ya Iran kuna mtu anaitwa Hajji Qassam Soleimani. Kiongozi wa kikosi maalumu kcha Islamic Revolution Guard Corps(IRGC) ama Quds force.
Meja Jenerali Qussam Soleimani ndiye mastermind wa Eneo la middle East na Hadi Afghanistan.
Ana operate kwa uweledi mkubwa kiasi cha kuzitia hofu mataifa ya kisunni ikiwemo mataifa ya Magharibi na Israel.
Ndiye alieimarisha Nguvu ya ushawishi ya Iran katika Middle East.
Qussam huendesha operations mbalimbali za kupambana na Israel, USA, na mataifa washirika wa Mataifa ya kisunni.
Iran kupitia kikosi chake wamefanikiwa ku injinia mauaji mbalimbali ya Askari wa USA waliokua pale Iraq wakati ule wa Uvamizi wa USA nchini Iraq mwaka 2003, Kipindi ambapo Jeshi la Marekani chini ya kiongozi wa Muda mmarekani Paul Bremmer likiwa linamsaka Saddam Hussein hadi lilipompata.
Wanajeshi wengi wa US waliuwawa kwa mabomu na milipuko ya kutegwa kiufundi.
Hivyo Meja jenerali Qassem alifanikiwa kuimarisha upinzani mkubwa dhidi ya majeshi washirika wa Marekani pale Iraq.
Qussam anao ushawishi mkubwa kwa Taifa La Iraq hivi sasa. Ambao lipo chini ya serikali ya madhehebu ya Shia.
Pia Qassam anaamini Israel inakwenda kufa, kupitia matumaini haya, amekua na juhudi kubwa kuhakikisha hilo linatokea ndani ya wakati wake.
Mahesabu haya ndio hufanya waendeleze hujuma za kijeshi na kigaidi dhidi ya taifa hilo la kiyahudi.
Pia Qassem ni Mtiifu kwa kiongozi wa Taifa lao Ayatollah Khamenei.
Qassem Hufadhili kundi kuu la Hezbollah ambalo ni hasimu na Israeli. pia wana mafungamano na Hamas hivi sasa.
Pia Qassem alikua akitoa Hongo kwa vikosi vya kikurdi ili apitishe silaha kwenda Syria kumsaidia Bashaar Al Sadr ambaye ni Mshia mwenzake ili Kuimarisha ressistance nchini Syria. Hasa kipindi ambacho kulikua na vita pale nchini syria.
Hivi sasa baada ya Trump kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel. Qassem amekua akitoa sapoti ya nguvu zaidi kwa vikundi vya islamic jihadists na vya kigaidi dhidi ya Israel ikiwemp Hamas.
Hapa ndio utaelewa kwanini USA na Israel zinakosa Usingizi.
Pia kupitia kivuli cha huyu mtu, amekua akizihujumu mataifa ya kisunni mpaka Yemen.
Vitendo vyake vimekua vya uweledi. Kiasi hata taaisi za ujasusi za CIA, Mossad. Na mataifa ya kisunni yakiongozwa na Saudi Arabia yamekua macho kufuatilia mienendo yake eneo lile.
Kwahiyo wanaotaka kujadili uhusiano wa USA na Iran . Kabla hawajamlaumu USA. Waanze kwanza kufahamu nguvu ya Taifa hilo la kishia pale middle East .
Iran pia wamekua wakitumia Drones kwa kufanya ujasusi Nchini Israel, bila kusahahu Cyber attack kwenye Mifumo ya kijeshi ya ki electronic ya USA na Israel.