Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
Aisee! Nasikia harufi ya damu
Nalog off
Nalog off
mkuu huu mtanange utakuwa wa kufa mtu!Hao waajamen wasikie tuu mkuu, kama vikwazo waliweza kuishi navyo zaidi ya miaka 30 basi ujue sio watu wa kuwabeza.
Acha kabisa mkuu, Marekani kipindi hiki anaumiza kichwa mno kuliko vipindi vyote mkuu.mkuu huu mtanange utakuwa wa kufa mtu!
tuombe utokeye ni balaa ni balaa Israel hawezi ingia kwa Iran ukweli mchungu!
Hebu juilize kwanini Trump ana ana lalamika kabla ya mazungumzo na Kim.Kiduku na makeke yake yote kaingizwa kingi ndio itakuwa Iran mgomvi na kila taifa duniani? Miongoni mwa ToRs za Trump ni kuondokana na utawala wa kidikteta wa Iran kwa mrengo dini. They gonna be history soon.
Raia wanalowea kwenye umaskini, kila wakitaka kuandamana Kiongozi wa taifa naye anaandaa maandamano ya kuwapinga wanaondamana na kudai kuwa Marekani inataka kuvuruga amani kwa kuwatumia wa Iran.Hao waajamen wasikie tuu mkuu, kama vikwazo waliweza kuishi navyo zaidi ya miaka 30 basi ujue sio watu wa kuwabeza.
Tatizo watu wana haraka sana sana wasubiri kwanza maongezi ya kamanda kim !!Acha kabisa mkuu, Marekani kipindi hiki anaumiza kichwa mno kuliko vipindi vyote mkuu.
Siku hizi kuna Nchi vichwa ngumu, US akinguruma nao wananguruma.
Kuna Nchi gani isiyokuwa na Raia masikini...?Raia wanalowea kwenye umaskini, kila wakitaka kuandamana Kiongozi wa taifa naye anaandaa maandamano ya kuwapinga wanaondamana na kudai kuwa Marekani inataka kuvuruga amani kwa kuwatumia wa Iran.
Huu msemo huwa unaniudhi kama nini, kwahiyo kila mtu ambaye sio Mwarabu ni mbabe? Kutokuwa Waarabu hakuwezi kuthibitisha ubabe wao, bali waoneshe vitendo sio ujinga wa maneno ya kanga.Hebu juilize kwanini Trump ana ana lalamika kabla ya mazungumzo na Kim.
"Ana sema kama mazungumzo hayatokuwa na mafanikio atainuka kwenye kiti na kuondoka..."
Ukishapata jibu ndio utawajua kuwa North Korea sio Waarabu na wanachokifanya wanakijua zaidi yetu.
Huo msemo umekuuzi au laaa kwangu haijalishi mkuu..Huu msemo huwa unaniudhi kama nini, kwahiyo kila mtu ambaye sio Mwarabu ni mbabe? Kutokuwa Waarabu hakuwezi kuthibitisha ubabe wao, bali waoneshe vitendo sio ujinga wa maneno ya kanga.
Huo msemo umekuuzi au laaa kwangu haijalishi mkuu..
Tatizo la Waarabu wapo kinafiki na hawana mshikamano japo wanaumoja wao. Na isitoshe kuna baadhi ya Nchi wanawatumia kwa maslahi yao binafsi.
Aliyekwambia mie Mshia Msunni nani..?We mshia hovyo sana, waarabu wanafiki nyie waafrika ni watu wazuri au?
Kwa hio ww ulitaka waandamane???Raia wanalowea kwenye umaskini, kila wakitaka kuandamana Kiongozi wa taifa naye anaandaa maandamano ya kuwapinga wanaondamana na kudai kuwa Marekani inataka kuvuruga amani kwa kuwatumia wa Iran.
Aliyekwambia mie Mshia Msunni nani..?
Nimekuuliza aliyekwambia mie ni Mshia au Msunni nani...?Unafikiri nimekusahau sio