Je, utaramba?

Je, utaramba?

Adu gida

Member
Joined
May 7, 2011
Posts
18
Reaction score
1
Ukwaju ni mchungu na wengi wetu tunaona ni bora ubuyu kuliko ukwaju.

Mi sitaki nikukimbize manake mwisho wake nitachokam we anguka jifanye kama umepata ajali uniache mi nikukamate na mwisho wa siku uonekane shujaa. Haya ndiyo maneno ya siasa mtahani na ndiyo salamu za vyama vingi mpaka chama tawala mfano mdogo kidumu chama tawala maana ya kauli hii mnaijua kama we ni mgeni wa siasa basi hauwezi juwa maana yake na sijui hata kama wahasi wa chama cha CCM wanajua maana ya maneno haya.

Ila fumbo mfumbie mjinga, mjanja unapotesa muda hizo ni salamu za chama na utamua wa ngoma usimshike ng'ombe mkia mguse kichwani na ajali si ajali mpaka gari lipinduke na kidumu chama cha mapunduzi manake hakuna sababu kiwepo kama Mwl nyerere hakuona umuhimu wake kwa utashi wake alijuwa mabadiliko yenye maana yatakuja kupitia ccm na kuona kidonda si kwamba kovu halita kuwepo
 
Ukwaju ni mchungu na wengi wetu tunaona ni bora ubuyu kuliko ukwaju.Mi sitaki nikukimbize manake mwisho wake nitachokam we anguka jifanye kama umepata ajali uniache mi nikukamate na mwisho wa siku uonekane shujaa. Haya ndiyo maneno ya siasa mtahani na ndiyo salamu za vyama vingi mpaka chama tawala mfano mdogo kidumu chama tawala maana ya kauli hii mnaijua kama we ni mgeni wa siasa basi hauwezi juwa maana yake na sijui hata kama wahasi wa chama cha CCM wanajua maana ya maneno haya.Ila fumbo mfumbie mjinga, mjanja unapotesa muda hizo ni salamu za chama na utamua wa ngoma usimshike ng'ombe mkia mguse kichwani na ajali si ajali mpaka gari lipinduke na kidumu chama cha mapunduzi manake hakuna sababu kiwepo kama Mwl nyerere hakuona umuhimu wake kwa utashi wake alijuwa mabadiliko yenye maana yatakuja kupitia ccm na kuona kidonda si kwamba kovu halita kuwepo
Khaaa! Ngoja wengine waje wajionee.. Jamani! jamani! JF vibweka siku hizi vinakithiri.
 
mmmh haya mi nimepita tu,ngoja 2subiri na wengine jaman!
 
Hata miye hapa napita kimya tu! Baadaye nitarudi kutazama profile yake.
 
hapo mm tv yangu imekamata chenga chenga.
 
Back
Top Bottom