Je Utamuomba msamaha au utapotezea yapite?

Je Utamuomba msamaha au utapotezea yapite?

Saana. Na tulikuwa tunachapwa balaa. Wanafunzi siku hizi hawachapwi. Mwambie shost afunge domo wifi atamharibia ndoa
Ajigonge kwa wifi ikiwezekana unambully kaka birthday yake unampa kizawadi
 
Nakumbuka ilikuwa prepo nilikuwa naongea na msichana, kumbe yule msichana ni girlfriend wa prefect na jamaa kaniona nae usiku ule nikiwa napiga story na bebe yake (sikuwa namtongoza)..jamaa alinitafutia kosa nikapigwa adhabu heavy, mpaka leo tukikutana jamaa bado ana kinyongo nami wakati ni miaka mingi sasa imepita
 
Afadhali sikuwa buly, kwahiyo swali halinihusu.
 
Kwani wifi yako ndio anayekubashia?
 
Mambo ya shule yanaisha baada ya shule kuisha.....


Kama kuna mtu anaweka visasi vya matukio ya shule huyo ni "Juha" tu
 
Back
Top Bottom