Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Yule mdada uliyekuwa unambully sana boarding school, wakati huo wewe dorm leader, kosa dogo tu amechelewa kwenda prep unampiga adhabu ya kupiga deki wiki nzima chooni.
Miaka imepit a, kitaa umekutana na mkaka umefall in love kinoma, jamaa anakuitroduce kwao, yule mhasimu wa boarding ndiyo wifi. Hapa unalianzisha au ni bora ukauke tu?
Miaka imepit a, kitaa umekutana na mkaka umefall in love kinoma, jamaa anakuitroduce kwao, yule mhasimu wa boarding ndiyo wifi. Hapa unalianzisha au ni bora ukauke tu?