Je Utamuomba msamaha au utapotezea yapite?

Ngoja waliosoma boarding waje ila mimi naamini katika kusamehe na kusahau
Mkuu huwa unaona jinsi watu wanavyo type ili wakipost tu umekuwa wa kwanza kucomment? Tafadhali naomba siri ya mafanikio mkuu. Mara nyingi nakuta thread ina page zaidi ya tano.
 
Haa haaa umenkumbusha mbali, me nilikuwa prefect nilikuwa natoa adhab sana. Sasa kuna wasichana 2 niliwapa adhab ya kusafisha vyoo 12 kwa wik nzima. Ila mmoja wao ndo ma wa wanangu, huwa asahau hilo tukio though ni la miaka 19 ilopita.
 
Uprefect ulikusaidia kupata mke. Dorm leaders tulipata maharage ya juu top layer
 
Kwani mfano wewe ni mwalimu na unawatoto wanasoma shule hiyo hiyo unayo fundisha wewe darasa hilo unalofundisha wewe, je wakikosa hutawaadhibu kwa sheria za shule?
 
Alijua kabisa humpendi unambambikizia adhabu
 
Sidhani kama ni vizuri kuweka visas vya namna hiyo.

Utakufa mapema.
Lisemwalo lipo!!

Kisasi/visasi vipo mpaka kwa Mungu sembuse sisi bini adamu?

Kisipokuwapo hawatajifunza kuishi kwa unyoofu.
 
Mkuu huwa unaona jinsi watu wanavyo type ili wakipost tu umekuwa wa kwanza kucomment? Tafadhali naomba siri ya mafanikio mkuu. Mara nyingi nakuta thread ina page zaidi ya tano.
Jitahidi uwe online tu (kama una nafasi)
 
Back
Top Bottom