Habari za Usku wanamahusiano??
Kiukweli huwa napata shida sana kuona katika mahusiano mmoja Kati ya wapenzi anakuwa tofauti na mwenzake mfano unaweza kukuta ;
-Mwanaume ni Mlevi lakn mwanamke sio mlevi.
-Mwanaume anavuta sigara lakn mwanamke havuti sigara
Yani naona kama haina ustawi mzuri maan Mimi naamin ktk mahusiano suala la "same interest" lina nguvu yake sana kwa wanahusiana lakn pia ni sehemu ya kufeel kile unachopenda.
Naomba nisiamini kuwa unaweza kuwa hupendi pombe lakn unalala na mtu aliyekunywa.
Naomba nisiamini kuwa hupendi harufu ya sigara lakn unalala nae.
Sasa Naomba niulize swali moja dogo tu.
JE UTAKUBALI MPENZI AWE MLEVI? kwa kilevi chochote kile ambacho ni Alcoholism ipo kwa sana.[emoji91]
Sent using
Jamii Forums mobile app