Je utajiri hutafutwa au hukufuata wenyewe?

Habari wanajukwaa

Leo nipo nimepoa hapa katika sofa baada ya kunywa chai ya shemeji yangu nikasema nisiende kubeti kwanza hebu nijaribu kutafakari ya maana,
Ndo yakanijia haya maswali, nikasema hebu nishee na Magreat thinkers wa kule Jf maana kule hata matajiri pia wapo

Utajiri je hutafutwa? Mbona haso ni nying sana kwa vijana lakini majibu ni zero!!

Je utajiri ni bahati? Hivyo tusijisumbue kuutafuta utaja tu wenyewe

Je utajiri una njia zake? Ni zipi hizo maana Kuna watu wanahisi wamemaliza njia zote lakin still score board 0-0

Je utajiri ni mchezo mchafu? Mbona Kuna watu tunawaona wapo safi kabisa na huenda tuendapo wakaenda tena kula keki (najua sio wote)

Kila mtu anapenda awe tajiri, haso zetu from morning hadi tunaenda kulala watu wanazisaka

Haya matajiri wa Jf mutuelezee hapa nikirudi kwa muhindi nitaja ku take notes

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Namsubiria mamlaka za uteuzi, nikipata hata u DC unanitosha, najua uwezo ninao tena mzuri tu.
 
Habari wanajukwaa

Leo nipo nimepoa hapa katika sofa baada ya kunywa chai ya shemeji yangu nikasema nisiende kubeti kwanza hebu nijaribu kutafakari ya maana,
Ndo yakanijia haya maswali, nikasema hebu nishee na Magreat thinkers wa kule Jf maana kule hata matajiri pia wapo

Utajiri je hutafutwa? Mbona haso ni nying sana kwa vijana lakini majibu ni zero!!

Je utajiri ni bahati? Hivyo tusijisumbue kuutafuta utaja tu wenyewe

Je utajiri una njia zake? Ni zipi hizo maana Kuna watu wanahisi wamemaliza njia zote lakin still score board 0-0

Je utajiri ni mchezo mchafu? Mbona Kuna watu tunawaona wapo safi kabisa na huenda tuendapo wakaenda tena kula keki (najua sio wote)

Kila mtu anapenda awe tajiri, haso zetu from morning hadi tunaenda kulala watu wanazisaka

Haya matajiri wa Jf mutuelezee hapa nikirudi kwa muhindi nitaja ku take notes

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hili uwe tajiri inahitaji vitu vitatu: AKILI, BUSARA, na NGUVU ZA KIROHO.
Wote wanaweza kuja na maneno mengi mpaka kujaza dunia kwa vitabu lakini hawawezi kukuambia hii combination. Ukienda kwa wachawi utakuwa unatafuta nguvu za kiroho. Ukienda kwa Mungu unakuwa unatafuta nguvu za koroho. Hukishapata hizo nguvu tu haziwezi kukupatia hela! Unatakiwa ufanyekazi! Pakuanzia soma mchezo jua pa kuanzia! Peleka akili kazini! Akili tu haitoshi kwasababu unakuta walioshika fursa na hatima ya kufanikiwa ni binadamu kama wewe! Ili uwaingie utaitaji Busara! Bila vitu hivi vitatu hutoboi.
 
Utajiri ule wenye consistence unadumu nao mwaka hadi miaka unahitaji .

@ Emotional intelligence
@ Spiritual power
@ Knowledge and skills how to earn money and how to keep money
@ Insight
@ keep learning and information.

Personally mambo ambayo nimeona yana work out kwa watu matajiri na ndugu zangu Ila nasistiza tuzingatie spiritual power hapo ndo kuna kila kitu.
 
Mkuu nadhani sio chini ya mara moja naona unazungumzia spiritual power.. Unaweza kufafanua kidogo?
 
Utajiri unakuja wenyewe kila unaepishana nae kwenye mihangaiko wanautafuta utajiri lakini hawaupati, ila sasa siyo ukae tu kijiweni jishughulishe ndo njia yake ya kuja ipo huko
 
Habari wanajukwaa

Leo nipo nimepoa hapa katika sofa baada ya kunywa chai ya shemeji yangu nikasema nisiende kubeti kwanza hebu nijaribu kutafakari ya maana,
Ndo yakanijia haya maswali, nikasema hebu nishee na Magreat thinkers wa kule Jf maana kule hata matajiri pia wapo

Utajiri je hutafutwa? Mbona haso ni nying sana kwa vijana lakini majibu ni zero!!

Je utajiri ni bahati? Hivyo tusijisumbue kuutafuta utaja tu wenyewe

Je utajiri una njia zake? Ni zipi hizo maana Kuna watu wanahisi wamemaliza njia zote lakin still score board 0-0

Je utajiri ni mchezo mchafu? Mbona Kuna watu tunawaona wapo safi kabisa na huenda tuendapo wakaenda tena kula keki (najua sio wote)

Kila mtu anapenda awe tajiri, haso zetu from morning hadi tunaenda kulala watu wanazisaka

Haya matajiri wa Jf mutuelezee hapa nikirudi kwa muhindi nitaja ku take notes

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Pesa ndo inatafutwa, ukitafuta utajiri utaishia kuuwa watu
 
Mkuu nadhani sio chini ya mara moja naona unazungumzia spiritual power.. Unaweza kufafanua kidogo?
Yes mkuu Ila sijatofautiana Sana na wachangiaji wengine .

Ila Mimi nimezungumzia utajiri au mafanikio yenye mwendelezo au consistence kuwa MTU ili aendelee Kuwa na mafanikio kwa muda mrefu basi anabidi kuwa na spiritual power (,Nguvu za kiroho)

Nguvu za kiroho tumetofautiana MTU na MTU maana ili kuwa na nguvu hizi uhitaji kuzingatia Usafi Wa mwili ,roho na matendo. Na kuwa positive mindset.

nikitazama MAISHA ya ndugu zangu ambao wanazingatia kufanya kazi na kuwa na spiritual power kiukweli wamefanikiwa Sana wao na familia zao.

Hivyo spiritual power ni nguvu za kiroho hizi hutoa matokeo kwa haraka kwa kile unachokiendea.
 
Nimekuelewa mkuu,, unaweza pia ukanifafanulia kuhusu usafi wa mwili roho na matendo mema.. maana mimi najua ukizungumzia usafi wa mwili uzinzi ndo unahusika hapo, maybe kama kuna kingine unafahamu tafadhali 🤔
 
Mkuu nadhani sio chini ya mara moja naona unazungumzia spiritual power.. Unaweza kufafanua kidogo?
The term "spiritual power" describes a force or energy that is thought to originate from a divine or supernatural source and has the ability to have a variety of effects on human life.

Spiritual strength is frequently linked to self-improvement, inner tranquilly, and a sense of meaning or purpose in life. It can also be viewed as a source of wisdom, inspiration, and direction that aids people in overcoming obstacles and navigating life. Some individuals think that spiritual power can help people achieve higher states of consciousness or awareness as well as heal their emotional, spiritual, and bodily afflictions.

Spiritual force is thought to be accessible through prayer, meditation, or other spiritual practises in several religious traditions. A spiritual awakening or revelation can also be directly experienced and passed on through the teachings of spiritual authorities.

In the end, the characteristics and outcomes of spiritual power are extremely individualised and based on personal experiences and beliefs. However, a lot of people discover that developing a relationship with their spiritual beliefs and practises can increase their sense of fulfilment, calm, and purpose in life.
Leejay49 hope jobless pro max nime jaribu
 
Asilimia kubwa katika maisha ni “bahati” naweza sema 80% , 20 ndo juhudi zako.
1. Bahati ya uwezo wa akili ulopewa
2. Familia unayozaliwa
3. Watu unaokutana nao
N. K
Si mpaka hiyo bahat uione...
 
Utajjri hauna formula.
Chochote tu huweza kukutoa.
Bidii,
Bahati
Uvumilivu
Timing tu
1.Bidii..(juhudi zako, maarifa Yako, uendaji kazi wako)
2.Bahati..(Mungu alivyo kupangia)
3.Watu wanaokuzunguka (familia...marafiki..wafanya kazi wenzio..kiufupi connection)
Hivi vitu vinatakiwa vibalance perfectly ndo pesa ikutembelee...unaweza ukawa na bahati but kama huna bidii na watu wanaokuzunguka wakawa wa hivyo...sahau kutoboa....na unaweza ukawa na bidii lakini kama huna bahati ni kazi sana kutoboa...unaweza ukawa na bidii pamoja na bahati ila kama watu wanaokuzunguka ni wabovu una mtihani....na unaweza ukawa na watu wazuri na bahati juu ila kama huna bidii sahau kuhusu mafanikio.....
So hivi vitu vitatu vinatakiwa vibalance...Nan atavifanya vibalance..ni wewe mwenyewe....ongeza maarifa zaidi kwa unachokifanya..soma vitabu..vumilia....muombe sana Mungu Ili bahati izidi kuwa nzuri kwako...changua marafiki na watu wanaokuzunguka kwa umakini...mtu kama ni toxic kwako mtoe kwenye maisha Yako hata kama ni ndugu Yako wa damu....uwe na circle ya watu walio positive....
Nadhani nimekusaidia kidogo..usiniulize kama Mimi ni tajiri au laa...ila tu siishi kwa shemeji
 
Asilimia kubwa katika maisha ni “bahati” naweza sema 80% , 20 ndo juhudi zako.
1. Bahati ya uwezo wa akili ulopewa
2. Familia unayozaliwa
3. Watu unaokutana nao
N. K
Hii naona kama imekaa.. pia Kwenye watu tunaokutananao huwa wanakuwa wakwanza kurudisha nyuma aise.. hii imenikuta mkuu kijana unamuajiri badae anakuloga
 
Bahati utengenezwa pia
Kitu chochote ambacho huwezi kukocontrol hiwezi kukitengeneza,
Huwezi amua uzaliwe na akili kiasi gani, huwezi amua uzaliwe familia gani,

So huwezi tengeneza bahati bali unweza kuitumia
 
Hii naona kama imekaa.. pia Kwenye watu tunaokutananao huwa wanakuwa wakwanza kurudisha nyuma aise.. hii imenikuta mkuu kijana unamuajiri badae anakuloga
Pole mkuu ndo maisha hayo, moyo wa mtu msitu,
 
Back
Top Bottom