Je, ushawahi shiriki ‘Logo design competition’?

Mo graphics 2019

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
1,002
1,453
Habari wakuu,

Kuna wakati hua kunaandaliwa mashindano ya kuandaa nembo(logo) kwa ajili ya taasisi fulani.Lengo likiwa ni kukuza ubunifu na kutaka kutafta wazo bora.

Kwa ambao tulishiriki competition ya kuandaa logo kwaajili ya Ruge mutahaba foundation, hatimae mshindi alishapatikana. Nimegundua leo baada ya kuingia online nakuona baadhi ya hizo design.

Hongera kwa alieshinda.

Kwa ambao hatukushinda.There is always next chance.

Screenshot_2022-06-28-11-01-46-28~2.jpg
 
Je unahitaji kipi kati ya hivi?
1. LOGO
2.MATANGAZO YA KUPOST ONLINE(POSTERS)
3.BANNERS or STICKERS

Tupigie /Watsup 0766348089

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom