tulia kuna part 2Sijaelewa kitu.
Mkuu unakimbizwa..?Aisee yamenikuta nikahisi nipo kwenye njozi ni wiki mbili tu lakini nilikonda kiasi ambacho hata upepo kidogo ukija napepesuka ,kiufupi skumoja nimelala usiku naskia sim vuuu, vuuu, vuuu nilikuwa nimeweka vibration kuangalia mama ndo alikua anapiga ile kupokea tu hakuna salamu Wala Nini niliskia sauti ya huzuni ikisema mwanang hamna kulala tena fanya ufanyavo asubuhi uwe umefika nyumbani mda huo naangalia saa ni saa 5 ussiku alafu simu akakata napiga simu haipokelewi napiga tena zaidi ya mara tano lakini haikupokelew,Kwanza nguvu zikaniisha gafla kwakuwaza Nini kimetokea huko nyumbani ,gafla nikapata wazo nipigie jirani yetu labda atanipa taarifa iliokamilika lakini pia skumpata nikipiga sim haipatikani,aisee niliwaza mengi pasipo majibu ,ndio nikaona isiwe tabu acha nifwate maneno ya mama kuwa asubuhi ikifika niwe nishafika nyumbani nikavuta shati chap nikavuta kiatu chapu nikatinga nikatoka nje nikauwasha mkoko nikauacha ungurume kidogo kwa ajili ya safari dk 5mbele nikaanza safari yakwenda nyumbani
Kwa anavyorundika maandishi sina haja ya kusubiri. I'm outtulia kuna part 2
Attention seeker...Mkuu unakimbizwa..?
kwaheri ngoja niendelee kukomaa naeKwa anavyorundika maandishi sina haja ya kusubiri. I'm out
huenda ndio yupo njiani anaelekea alipo mama yakeMkuu unakimbizwa..?
Atakuchelewesha kazini tu huyukwaheri ngoja niendelee kukomaa nae
Ndio aturundikie hivihuenda ndio yupo njiani anaelekea alipo mama yake
Uli drive Dar-Mwanza na umefiwa?Pole mwamba, nilikuja kuona message asubuhi saa nne, baba yako ametutoka, basi nikaingia bafuni nikaoga. Nikawasha chuma huyo kuitafuta Mwanza from Dar .. nakumbuka nilitoka dar kama saa sita hivi mchana, nimeingia mwanza usiku kama wa nane au tisa
Vijana wana magari mkuu..Uli drive Dar-Mwanza na umefiwa?
Huu ni uandishi wa mwanafunzi aliyetoka shule hivi karibuni. Story haina uhalisia! Bora likizo yenu iishe ili mkaendelee na masomo.Aisee yamenikuta nikahisi nipo kwenye njozi ni wiki mbili tu lakini nilikonda kiasi ambacho hata upepo kidogo ukija napepesuka ,kiufupi skumoja nimelala usiku naskia sim vuuu, vuuu, vuuu nilikuwa nimeweka vibration kuangalia mama ndo alikua anapiga ile kupokea tu hakuna salamu Wala Nini niliskia sauti ya huzuni ikisema mwanang hamna kulala tena fanya ufanyavo asubuhi uwe umefika nyumbani mda huo naangalia saa ni saa 5 ussiku alafu simu akakata napiga simu haipokelewi napiga tena zaidi ya mara tano lakini haikupokelew,Kwanza nguvu zikaniisha gafla kwakuwaza Nini kimetokea huko nyumbani ,gafla nikapata wazo nipigie jirani yetu labda atanipa taarifa iliokamilika lakini pia skumpata nikipiga sim haipatikani,aisee niliwaza mengi pasipo majibu ,ndio nikaona isiwe tabu acha nifwate maneno ya mama kuwa asubuhi ikifika niwe nishafika nyumbani nikavuta shati chap nikavuta kiatu chapu nikatinga nikatoka nje nikauwasha mkoko nikauacha ungurume kidogo kwa ajili ya safari dk 5mbele nikaanza safari yakwenda nyumbani
KweliHuu ni uandishi wa mwanafunzi aliyetoka shule hivi karibuni. Story haina uhalisia! Bora likizo yenu iishe ili mkaendelee na masomo.