JE Ungependekeza Adhabu gani katika hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JE Ungependekeza Adhabu gani katika hili?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kituku, Feb 26, 2011.

 1. Kituku

  Kituku JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanajamii
  Najua wengi mmesikia kwenye vyombo vya habari yule mzee wa kusini aliamua kumdhalilisha binti yake na kufanya nae mapenzi hata kumpunguzia muda wa kwenda shule.
  Duh,mimi imenihudhunisha sana na ninavyohisi yawezekana kuna familia zinazofanyiwa hivi ingawa zimeshindwa kujitokeza.
  Ni aibu na fedheha na unyama sana...

  Mtu kama huyu kufungwa tu inatosha au,
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :confused2:
   
 3. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kuku kala mayai yake,ok kawaida huwa tunamchoma mdomo ili asiweze tena hivyo kwa huyu mzee nanii nayo ichomwe!
   
 4. Kituku

  Kituku JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Mbona unakuna kichwa?
   
 5. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,228
  Likes Received: 4,947
  Trophy Points: 280
  Km imebainika ni kweli afyekelewe mbali hicho kikojoleo...ndiyo dawa pekee iliyobaki
   
Loading...