IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 802
Kwa wanaJF wote na wasomaji wote wa JF, kama ilivyo ada, nawafahamisha na kuwakumbusha kuwa Kmapuni yetu Ya KIMI, inafanya kazi na watu wote wenye mipango ya uwekezaji na wale walio katika uwekezaji..sisi tukiwa kama service intermediaries kuwa tunafanya yafuatayo;
KARIBU
- Development consultancy services ( Ushauri wa shughuli mbalimbali za kimaendeleo-miradi na biashara hasa katika masuala ya strategic planning na project documentation )
- Outsourcing services (utafitaji, ufuatiliaji, uthaminishaji, ununuzi na uagizaji wa bidhaa au huduma kwa niaba ya watu au taasisi zingine)
- Agency services ( huduma za uwakala wa huduma au bidhaa.....ili huduma au bidhaa zao ziwafikie watu wengi zaidi na kuongeza uzalishaji)
KARIBU