Je, ungelikuwa ni wewe kaka mtu ungeli-solve vipi?

Je, ungelikuwa ni wewe kaka mtu ungeli-solve vipi?

", mi nikaendelea na safari kabla sijafika mbali nikakuta wanaanza kupigana"
Hapa mimi Sijakuelewa uliamua kuwaacha na kuendelea na safari lakini mbele uliwakuta tena wanapigana???? Uliowakuta ni akina nani?
Na ulio waacha bila kuingilia ugomvi akina nani?
Niliamua kurudi Tena kwenda kuamua ugomvi nikaghairi kuendelea na safari
 
hapo hapo tunawaonea huruma dada zetu, hapohapo tunataka tule tunda kimasihara. jua tu we ukila mdogo wa mwenzako kimasihara na we wa kwako ataliwa kimasihara.

tatizo sio wanawake, tatizo ni sisi na vibolo vyetu.
 
Labda kamaanisha kwa vile kuna mabinti wa kiume kina delicious! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom