Je! Ungekuwa wewe ungefanyake?

Je! Ungekuwa wewe ungefanyake?

Ino

Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
25
Reaction score
7
Siku moja baba alimwaga mkewe anaenda safari kikazi ambaya ingemchuwa miezi 6 nje ya mkoa, sasa wakati mkewe anamsindikiza ilikuwa hv:
Mke: Mme wangu ntakumisi kweli ila sina namna jinsi tulivyozoeana na ku do kila siku sijui itakuwaje.
Mme: Usijari mke wangu ntarudi tu niombee yote ntakuja tuyafanye nikirudi.
Mke: Ok, basi chukuwa hizi kondom zikulinde labda ibilisi atakupitia nakupenda sana
Mme: Ama kweli mke wangu unanipenda nashukuru sana ni kweli ibilisi anaweza kunipitia, haya kwa heri mke wangu.Mke: Lakini mme wangu nilisahau, naomba pakti mbili na mimi zinilinde endapo ntapitiwa na ibilisi
Mme: Pumbafu sana wewe mwanamke malaya sana yani mi naondoka ndo unataka kufanya umalaya wako na siondoki sasa kama na nifukuzwe tu turudi ndani haraka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom