Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,315
- 7,113
Diamond yule miguu ka spoke? Hiyo tena hapana bwana!!Ushamba wa wabongo wengi,,, yani ukishika hela kidogo tu, unafutuka hatari, mi najaribu kumwangalia Diamond naona ni mfano tosha wa jinsi mwanaume unapaswa kuwa, sio unanenepeana ovyo tu. Ova