orangutan JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 756 Reaction score 775 May 3, 2017 Thread starter #61 Binti wa kizungu ukimwambia kuwa amekuwa bonge anaweza kujiua kabisa. Ubonge ni zimwi ambalo wenzetu wa rangi nyeupe wanaliogopa kama nn
Binti wa kizungu ukimwambia kuwa amekuwa bonge anaweza kujiua kabisa. Ubonge ni zimwi ambalo wenzetu wa rangi nyeupe wanaliogopa kama nn
luckyline JF-Expert Member Joined Aug 29, 2014 Posts 15,150 Reaction score 21,802 May 4, 2017 #62 orangutan said: Kwa wanawake vipi. (Hapo kwenye uvivu kitandani). Haiwahusu hii? Click to expand... inawahusu
orangutan said: Kwa wanawake vipi. (Hapo kwenye uvivu kitandani). Haiwahusu hii? Click to expand... inawahusu
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 21,014 May 4, 2017 #63 nchi yetu ina lishe duni sana kwasababu ya umasikini. watu wakipata hela hula vizuri na kuchana. kibongobongo unene ni ishara ya mafanikio.
nchi yetu ina lishe duni sana kwasababu ya umasikini. watu wakipata hela hula vizuri na kuchana. kibongobongo unene ni ishara ya mafanikio.
TRUTH gasper Member Joined Mar 27, 2017 Posts 64 Reaction score 82 May 4, 2017 #64 luckyline said: Kitambi heshima. Click to expand... Sema heshima huku unasaidiwa
MeinKempf JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 11,092 Reaction score 7,236 May 4, 2017 #65 Kaangalie Sifa za miss Bantu afu utaleta mrejesho hapa jamvini. gwankaja said: Ha ha ha hakunaga mlimbwende bonge..sijawahi kuwa na mwanamke bonge hata kuwatongoza tu nawaogopa Click to expand...
Kaangalie Sifa za miss Bantu afu utaleta mrejesho hapa jamvini. gwankaja said: Ha ha ha hakunaga mlimbwende bonge..sijawahi kuwa na mwanamke bonge hata kuwatongoza tu nawaogopa Click to expand...