Je, Unene ni ishara ya mafanikio?

Ushamba wa wabongo wengi,,, yani ukishika hela kidogo tu, unafutuka hatari, mi najaribu kumwangalia Diamond naona ni mfano tosha wa jinsi mwanaume unapaswa kuwa, sio unanenepeana ovyo tu. Ova
Diamond yule miguu ka spoke? Hiyo tena hapana bwana!!
 
Elimu ya afya iko chini kwa wengi sana. Na wengine wenye hiyo elimu uvivu mwingi.

Kimsingini hayo tu.
 
Kwa % kubwa ya waTanzania unene ni kama sifa japo ukweli unene ni kama ugonjwa,mtu mnene mala nyingi hawezi fanya mambo kwa usahihi hata kidogo.

Hivyo tu
 
wachaga wengi wako well off financially lakini nadra kuwaona na mitumbotumbo
 
Kibongobongo ukikosa manyamanyama ni ngum hata kung'oa madem, hawaamin watu vimbaumbau km wanaeza kuwa stable na mkifika mnataka kuoana ndo kabsa unakuta wazaz wake wakikuona tu fulu wasiwasi
 
Kibongobongo ukikosa manyamanyama ni ngum hata kung'oa madem, hawaamin watu vimbaumbau km wanaeza kuwa stable na mkifika mnataka kuoana ndo kabsa unakuta wazaz wake wakikuona tu fulu wasiwasi
Labda wazazi wenye upeo mdogo.
 
Naona vimbau vimbau mnafarijiana..
Mkuu watu wanakupa ushauri mujarab wewe unabeza,sasa endelea kuendekeza ubonyenye,utajikuta hata yale "mambo flaniflan"i nyeti yanakushinda halafu gafla utamkuta mwenza si wako tena na ndipo utatia akili.
 
Ni dalili mbaya za malnutrition !! Au kwa lugha ya kiungwana zaidi tunaita hali hiyo ni UTAPIAMLO !!
 
Ni dalili mbaya za malnutrition !! Au kwa lugha ya kiungwana zaidi tunaita hali hiyo ni UTAPIAMLO !!
 
Hauna faida yoyote,ingekuwa unene ni dalili ya mafanikio basi Dangote angekua ananyanyuliwa na crane...
 
Back
Top Bottom