Je, Unene ni ishara ya mafanikio?

Mimi masikini wengi huwa nawaona ni wembamba, na baadhi ya matajiri nawaona ni wanene sasa mimi huwa napata Picha kuwa kuna uhusiano fulani kati ya unene au wembamba na kipato cha mtu
Kama Mo, Manji,Mengi wote vibonge sio.....
 
Hmmmmm! Obama was unsuccessful all his life.

Habari Wakuu,

Katika jamii ya Kitanzania kama sio Africa nzima tumekuwa tukishuhudia watu wanaobahatika kuongezeka ukubwa wa mwili pamoja na kuota vitambi wakisifiwa na kuonekana kama wametusua kimaisha hivi.

Hata leo hii wewe uliekuwa kimbaumbau halafu baada ya kipindi fulani ukaanza kutoka mashavu na kuota kifriji tumboni utaona raia wanavyoanza kukupongeza na kufurahia hayo mabadiliko yako ya kimwili.

Swali ni kwamba, Je ni kweli ubonge ni kitu cha kukishabikia na kutoa hongera kwa wale waliofanikiwa kuukimbia ukimbaumbau na kuwa vibonge? Hasahasa tukijaribu kuangalia na namna ambavyo ubonge unavyohusianishwa na maradhi mengi huku vibonge wengi wakitenga bajeti ya kutosha kwa ajili ya kwenda gym na kufanya 'diet' ili kupunguza ukubwa wa miili yao.

Maoni yenu wadau.

View attachment 503717
 
Very true! Unakuta mtu kanenepaana kwa kula junk food hata kutembea ni mgogoro!

Watu walioishi kwa shida ndio wakipata visenti wananenepeana kama nguruwe. Ndio maana dhana hii iko Afrika. First world masikini ndio wananepeana hovyo.
 
Check watu kama Aliko Dangote,Mohamed Dewji,Reginald Mengi,Diamond Platnum,Bill Gates?
Halafu mwanaume ukinenepa sana ka shafti kanakuwa kadogo utafikiri kitovu,wengi wanaishia kupigiwa tu na mashamba boi wao,watu wanabaki kusema ohh wanawake wengine ovyo kabisa,nyumba kajengewa,gari kanunuliwa na miradi kafunguliwa ,vyakula ndani kibao ,matunda kwenye friji hayakatiki,wewee,watu wanahitaji matunda ya kwenye boksa.
Kuna point hapa
 
Mi nadhani ishu ya msingi ni kwamba inabidi mtu azingatie uzito wake uendane na urefu wake (Weight to height ratio). Mbali na hapo ubonge nyanya ni majanga
 
Mimi masikini wengi huwa nawaona ni wembamba, na baadhi ya matajiri nawaona ni wanene sasa mimi huwa napata Picha kuwa kuna uhusiano fulani kati ya unene au wembamba na kipato cha mtu
Hua nawaambiaga watu wengne wanabisha, hlf nawaambia kafanyen uchunguz uje ubishe tena, wakirud lazma waungane na mm, Mijitu minene , ila kwa uzoefu wangu n wale wanaoupata unene kweny harakat za maisha, tofaut na unene wa asil, huwa hawanaga akili asee, akil zao zinapungua au kuisha kbsa zinabak za ku moderate mwili, yaan muda wote yy hufikiria mwili tuu, either avaeje apendeze kulingna na unene wake, ale nn ili apunguze, amaintain au aongeze mwili tena,

Sasa baba usiombee unene unaoambatana na Bonge ya kitambi kwa wanaume, na kifua km jaba kwa mwanamke, Hapo lazm pale kat mission iwe impossible, Toroka huko ndugu yanguu
 
Obesity inaweza kupelelekea matatizo yafuatayo;
1.Type 2 Diabetes mellitus
2.Hypertension
3.High cholesterol level
4.Cardiac disorders
wataalam wa afya watanisaidia mengine.
 
M


Mijitu mingi / asilimia kubwa, ikinenepa kupita kiasi huwa naona inakuwa mipuuzi puuzi tu hata uwezo wa kufikiria unakuwa duni,sijui ni kwa nini.Hata kufa kwao mingi huwa inafia chooni ikiwa inak...nya, yaani ni Ghafla pwaaa!
Mkuu punguza hasira kidogo......
 
Wanene

Ni wale wanaopata fulsa ya kula chakula kingi chenye kunenepesha.

Wakipata hiyo fulsa ya msosi huwa wanakula kwa bidii na kushiba kupita kiasi na kusababisha unene.
Ukienda kwenye jamii yenye shida ya chakula huwezi kumpata mnene,

Wahenga walilonga,
"mwili haujengwi kwa matofali" bali kwa chakula

Unene sio mzuri kwa afya.
Tuwazoeshe watoto wetu kula kwa kiasi na sio kusema
"Mwache ale hadi aache mwenyewe"
mazoea hujenga tabia

Nasi watu wazima tule kwa kiasi ili tulinde afya zetu.

Na sio kila

Che awumbile Mulungu cha kumemena
 
Back
Top Bottom