Je, unazingatia nini unapochagua UI ya simu

Je, unazingatia nini unapochagua UI ya simu

Sahihi, OnePlus ilikua inatoa clean option kwa watu wengi Ila sasa hivi Oppo anawaingilia Sana na kuna tetesi soon itafungwa, maybe Motorola still inatoa hio clean experience. Google Wana clean software ila hardware zao ni so and so.
Kuna video niliona kuwa Mororola wameanza kuiharibu UI yao na ads
 
Umenena tena hyper os 3imekuja na mazuri mengi sana, kuna habari mbaya kuhusu oppo kujitoa kwenye soko la kimataifa atabaki tu China hivo watumizi wa oxygen os wanakwenda kupotea soo
Hivi kwa nini Wachina wanashindwa ku compete na Global Market?
Ni Xiaomi peke yake ndio ameweza, labda na One Plus.
 
Hivi kwa nini Wachina wanashindwa ku compete na Global Market?
Ni Xiaomi peke yake ndio ameweza, labda na One Plus.
Hawataki kulipa tech za watu wanazotumia, Oppo alikuwepo Global alivyoingia masoko makubwa wakamshtaki akakimbia.
 
Kwa ulimwengu wa sasa kijana ambaye ni artistic(digital content creator). Kumiliki professional smartphone ni muhimu sana,
Hizi za million 2,3,4.
Dunia inaenda kasi sana leo kijana atakiwe amiliki simu ya 2,3,4mill!!!

Wakati wangu rika letu hiyo hela haraka sana ulikuwa unaipeleka kwenye ardhi (kwa waoga wa maisha) au kuvaa vizuri wenyewe wakiita bling bling kwenda club na kubeba watoto wazuri mtaani etc,but vizuri umefafanua kwamba awe na kazi nayo ila mtaani wanazo na siyo ma-artistic.
 
Sahihi, OnePlus ilikua inatoa clean option kwa watu wengi Ila sasa hivi Oppo anawaingilia Sana na kuna tetesi soon itafungwa, maybe Motorola still inatoa hio clean experience. Google Wana clean software ila hardware zao ni so and so.
Mkuu leo nimeona kuna simu inaitwa Redmi Red Magic 10, hizi simu bongo zipo? Na bei yake inaweza ikawa inarange kiasi gani? Nimeona tu video za huko nje ila nimetokea kuielewa
 
Mkuu leo nimeona kuna simu inaitwa Redmi Red Magic 10, hizi simu bongo zipo? Na bei yake inaweza ikawa inarange kiasi gani? Nimeona tu video za huko nje ila nimetokea kuielewa
Hazipo, red magic ni Zte, Kama Huawei zina ban Nchi nyingi. Mpaka uagizishie toka nje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom