Lizo mkristu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 366
- 778
Ayo yote ulio weka watu hawayatambui kama kipaumbele zaidi tunaangalia hardware tu na vichache vya software mft watu tunaangalia camera,spika,betri na kioo ayo yaliowekwa ndan yanawausu washua
Nimeona mara kadhaa humu JF watu wengi wanasema wananunua iPhone kwa sababu ya security, wananunua Samsung kwa sababu ya features wengine wanasema wanapenda Google Pixel kwa sababu ipo simple and cleanAyo yote ulio weka watu hawayatambui kama kipaumbele zaidi tunaangalia hardware tu na vichache vya software mft watu tunaangalia camera,spika,betri na kioo ayo yaliowekwa ndan yanawausu washua
Uliletewa na Baba?😁Mie hata sielewi wallah,hii simu ninayotumia tu sikujuaga hata bei yake,baada ya kwenda dukani kuuliza bei🙌
Eeeh,Uliletewa na Baba?😁
Lengo lako lilikuwakuwaoutsmart watu?Thread au taarifa nzuri ni ile iliyokusudiwa kuelimisha na kufikisha ujumbe uliokusudia,nilitegemea ungeanza na maana ya UI kabla ya kuendelea na vingineHii thread nilijua tu watu wengi hawatoielewa. Bora hata nisingeileta huku 😅
Ila JF jamani 🙌Lengo lako lilikuwakuwaoutsmart watu?Thread au taarifa nzuri ni ile iliyokusudiwa kuelimisha na kufikisha ujumbe uliokusudia,nilitegemea ungeanza na maana ya UI kabla ya kuendelea na vingine
So hapo unakaa upande upi ndugu yangu, mie hyper os kisha color osMost common OS zinazotumika na watu wengi kwenye simu ni iOS na Android
Kwenye iOS kwa sababu hakuna mpinzani zote zina UI moja tu ila kwa Android zipo UI nyingi, kwa hiyo hapa kiujumla, naongelea kuanzia
iOS
hadi
- One UI (Samsung)
- HyperOS (Xiaomi)
- ColorOS (Oppo)
- OxygenOS (One Plus)
- Pixel UI (Google Pixel)
- Android ya kwenye Sony Xperia (no specific name)
- OriginOS (Vivo China)
- FuntouchOS (Vivo Global)
- NothingOS (Nothing Phone)
- Hello UI (Motorola)
- MagicOS (Honor)
Je ukiwa unanunua simu kwenye UI unazingatia nini zaidi?
- Security & Privacy
- Customization and Features
- AI implementation
- Simple and clean
- Animations
- Control centre style
- "Material You" implementation
- Ad free experience
- Haujali chochote
- Other things
Binafsi napenda zaidi customization and features, plus nice animations
HyperOS na One UI nazipenda equally maana ndio kings wa customizationSo hapo unakaa upande upi ndugu yangu, mie hyper os kisha color os
ni kweli mkuu huna sababu ya kujichosha, computer tunaangalia capacity yake speed, ram nk hata simu?mimi huwa nazingatia storage tu iwe kubwa tuKun mshikaji wangu mmoja yeye ni mtundu mtundu sana wa hizi simu. Siku moja ananiambia sijui, android version gan, UI, sijui root, sijui vitu gani. Nikamwambia braza mimi natumia simu kama ordinary user sio expert kama yeye, alicheka sana.
Umenena tena hyper os 3imekuja na mazuri mengi sana, kuna habari mbaya kuhusu oppo kujitoa kwenye soko la kimataifa atabaki tu China hivo watumizi wa oxygen os wanakwenda kupotea sooHyperOS na One UI nazipenda equally maana ndio kings wa customization
Kama HyperOS ukiangalia comparisons hawana mpinzani kwenye Lock Screen Customization, Fingerprint animation style.
One UI ukiongezea Good Lock inakuwa something else kwenye customization
Not to mention both zina significant amount of themes & fonts
Wanajitahidi sana Xiaomi na Samsung kwenye customization
Sahihi, OnePlus ilikua inatoa clean option kwa watu wengi Ila sasa hivi Oppo anawaingilia Sana na kuna tetesi soon itafungwa, maybe Motorola still inatoa hio clean experience. Google Wana clean software ila hardware zao ni so and so.Huwa naona kwenye UI comparison huwa wanachukua zile best vs best yani za kwenye flagships ndio wana compare
Also I think One UI iko vizuri kwenye everything except kwa wanaotaka "Simple and clean software"
Ila apart from that huwa naona iko perfect sehemu nyingi (Features, customization, AI, animations, design and aesthetics, etc)
Malizia kwa lugha nyepesi kwamba hardware ikoje mkaliSahihi, OnePlus ilikua inatoa clean option kwa watu wengi Ila sasa hivi Oppo anawaingilia Sana na kuna tetesi soon itafungwa, maybe Motorola still inatoa hio clean experience. Google Wana clean software ila hardware zao ni so and so.
Pixel hardware yao haina Nguvu sana, mtumiaji wa kawaida hawezi ona utofauti ila kwa power user hataweza kurun mambo mengi.Malizia kwa lugha nyepesi kwamba hardware ikoje mkali
Kwani games unazichukuliaje mkuu. Gaming ni sekta ambayo hata flagship zenyewe sometimes huwa zinachachamaa. Hapa unakuta una powerful chipset, strong GPU ila simu inachemka balaa. Gaming ni heavy taskmuulize vitugan vya haraka anavyofanyaga nje na game akupi majibu
Huawei Harmony OS haina miaka mingi tangu inazishweZamani niliwahi tumia oppo, niliipenda colorOS
hivi huawei user interface yao si ni harmony OS ama, nilitumia nayo inapendeza, inaleta utofauti, sijui ni kwasababu nimezoea one UI, ndio maana kwenye huawei nikaona bomba