Je, unazijua dini nyingine zaidi ya Ukristo na Uislamu?

Je, unazijua dini nyingine zaidi ya Ukristo na Uislamu?

mimi mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2019
Posts
303
Reaction score
657
Tuliozaliwa na kukulia bongo tukiambiwa kuhusu dini, akili yetu inakimbilia kufikiria kuhusu dini kuu mbili hapa nchi Ukristo na Uislam.

Lakini, mbali na Ukristo na Uislamu, dunia ina dini nyingi.

Uhindu
Ubuddha
Sikhism
Uyahudi.
Shinto
Taoism
Rastafarianism
Dini za Kiafrika za asili
E.t.c

Hebu tufahamishe:
1. Je, unajua dini yoyote kati ya hizi?
2. Unaweza kutuambia kidogo kuhusu kile wanachoabudu, asili yao au imani zao?
3. Hizo dini zinatambulika hapa Tanzania?
 
Dunia ni zaidi ya uislam na Ukristo.

Wanaofahamu mtupe elimu
 
Back
Top Bottom