Je, unayajua anayopitia mchungaji wako?

hilo halina shida ila mchungaji wanafahamu wanayopitia waumin mpk wanaleta mizigo madhabahuni?
Sasa mkuu kuhusu mizigo kwani tunalazimishwa kutoa?maana hata kwenye maandiko hawajasema kutoa sadaka ni lazima lakini wamesema kutoa sadaka ni moyo,ukiwa na moyo wakutoa utatoa hautoangalia hayo mapito unayoyapitia,kutoa ni moja ya Ibada mkuu
 
Halafu wenyewe hayo magari Wanaomba waamini Wachange. Wewe ukitaka gari anakwambia piga goti nikuombee...! Mungu Turudishie ufahamu.
Ukiona roho inauma kumchangia mchungaji anunue gari mkuu usitoe, lakini tulio na amani mioyoni tutawachangia wachungaji wetu wanunue magari na majumba hata kama sisi hatuna
 
Unaendaje mbele za Bwana kuomba akupe gari,ndio shida inapokuja sasa unaomba gari usipopata kifuatacho unahama kanisa,ni watu wengi tunakwenda mbele za Mungu kutafuta Mungu atufanyie jambo ambalo litatupendeza, lakini sisi atutafuti kumfanyia Mungu jambo litakalompendeza
Halafu wenyewe hayo magari Wanaomba waamini Wachange. Wewe ukitaka gari anakwambia piga goti nikuombee...! Mungu Turudishie ufahamu.
 
Ukiona roho inauma kumchangia mchungaji anunue gari mkuu usitoe, lakini tulio na amani mioyoni tutawachangia wachungaji wetu wanunue magari na majumba hata kama sisi hatuna
Seriously ?
IMG_20210924_074847.jpg
 
Sasa mkuu kuhusu mizigo kwani tunalazimishwa kutoa?maana hata kwenye maandiko hawajasema kutoa sadaka ni lazima lakini wamesema kutoa sadaka ni moyo,ukiwa na moyo wakutoa utatoa hautoangalia hayo mapito unayoyapitia,kutoa ni moja ya Ibada mkuu
mkuu mbn unakua defensive hivyo as if nimetoa shutuma?we umeuliza km tunayajua wanayopita wachungaji nami nimeuliza km wachungaji wanajua tunayopitia waumini mkuu just that
 
Hapana sipo kinyume na wewe ila nilikuwa naweka sawa kile ulichouliza mkuu labda nitakuwa sijakuelewa
mkuu mbn unakua defensive hivyo as if nimetoa shutuma?we umeuliza km tunayajua wanayopita wachungaji nami nimeuliza km wachungaji wanajua tunayopitia waumini mkuu just that
 
Ukiona mnasali mpo chini ya Miti au mnatumia maturubai,
au kanisa ni la mabati fulusuti na mnatumia viti vya plastiki.
Halafu Mchungaji Wenu ana miliki nyumba hekalu na gari kali mjue hapo Mnapigwa..!
 
Ni kweli kabisa wachungaji wanapitia magumu kwa kiasi chake kama sisi nasi tunavyopitia magumu katika kazi tunayofanya.

Aheri hata wachungaji wale ambao wanaruhusiwa kuoa kuliko mapadre wa kanisa katoliki, wale ndio nadhani wanakutana na majaribu makali kutoka kwa waumini wao, wana kutana na upweke ambao hauelezeki kwa urahisi.

Yote ya yote tunawaomba wepesi na kuwatakia yote mema kwa wachungaji wote na hata viongozi wote wa dini katika dini zote.
 
Back
Top Bottom